Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] comment imenifuraisha yeye Ali target child support na umaarufu na kweli umaarufu wake umeongezeka had ana pata matangazo makubwa Diamond hampendi imebidi tu ajirudishe maana Zari kashakuwa brand kubwa tena wabongo ndo tulimuongezea
 
Umeona eeehh!baassi nae ndo wale wale kahaba kama wengine mwanamke anaejitambua hawezi beba mimba ndani ya mwezi mmoja wa mahusiano
 
Hata mim nisingetoa mamiyake ila msingekaa mkanijua hata Shilawadu wangekuja ningekataa nikasema diamond cuzn yangu bora mahitaji napata akaaaa
Na hiyo ndio akili kubwa. Mdomo wake umeponza kichwa.
 
Nadhani ungeniuliza kazaa na nani na nani?

Jibu;

Ana watoto watano kazaa na Ivan aliyekuwa mume wake na Dai ambaye alikuwa mpenzi wake official vipi Missa???
Kazaa na bf wake Majizzo na https://jamii.app/JFUserGuide mate wake Diamond
 
[emoji3][emoji3][emoji3]mamaaa hawasemi hayoo!wanamuona Hamisa njaa aliyeomba 5mils per month[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
100% fact
 
Kwa majizo aling'ang'ania sema akakuta majizo keshashikiliwa na shikana akarudi nyuma. Akaona wa kumkomesha ni Zari [emoji23][emoji23]
Kumbe lulu alikaba had penalty sasa Hamisa ajitulize ajijengee heshima yake Lulu pamoja na kupitia makubwa akiwa mdogo alijirekebisha had sasa anafaa kuwa wife material kabisa
 
Na hiyo ndio akili kubwa. Mdomo wake umeponza kichwa.
Umeponza kichwa haswaa. Apambane na hali yake hamna mtu mwenye akili timamu atamuonea huruma. Akikosa matunzo ya D ntamuonea huruma ila kukosa Diki ya domo akajambe mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…