Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Kakimbia kitambo sana bado nambembeleza arudkwani mama swalehe Alisha kukimbia ...hahaa
Hamisa ndo nan mkuuIla jamani mtoto anaumaaa [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kama kidondaaaaa!
Hata akiwa jamabazi siku akipigwa risasi utalia...
Hawa kina,Zar,Wema,Hamisa n.k sio kua walikua hawaonywi kwao hapana walishaamua kupinda toka enzi mpk mzazi unasema muacheni shauri yake...
Mtu kama Irene kiwia (sitasema mabaya yake) maana sasa hivi kashakua na status,Odemba,TK wote wale haswaa hawa Leo wabaojifanya madada wa status mjuni wameanzia huku kwa kina Misa sema back then hakukua na IG wala Facebook nawajua vzr tu machafu yao yooote wengine mpk kufukuzwa kwao kabisaa wakawa Santiago kwa kina Fide Sinza pale
Wengine wameambulia wazungu n.k wamekua wachamungu na mama maushari [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]maisha hayaendi bila unaafiki jamani
Wengine wakaolewa na mabwana wa Dada zao !
Ila yote mzazi mwanawe akifanikiwa kwenye hizo njia anajiskia fahari etii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ndo maisha!
So mama Hamisa ana haki ya kumlilia mwanawe pia
Wengi humu haswa huku celebrity ni kizazi cha juzi hapa cha IG mna haki ya kumuona Hamisa malaya, mkaanza kumsifia Jack Mengi,mna haki ya kumuona Wema kahaba mkamsifia Zari maana ndo mliowakuta na mambo ya IG!
Wengine masupastaa wamewajulia jamii forum au kusoma kwa shigongo kiasi wawe hvyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mboni anaonekana mdada wa nguvu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]aiseehh!
So I do hope Hamisa is her time now..Siku moja atakuja kuheshimika sana tu hapa hapa bongo....tuombeni uzima!
Wameshapost wanashikana shikana kitandan na viuno anamkatia mbwa wake simba ...Wewe naye ile ilikuwa siku visiku hata sio mwezi tangu ua jeusi.
Na mengine alisema hayaongelei.. kama ilivyo sasa hajasema kilichojiri zaidi ya zawadi kutoka kwa mzazi mwenzie au mumewe.. eeeeh utalia ati
Wameshapost wanashikana shikana kitandan na viuno anamkatia mbwa wake simba ...
unamuachaje irene uwoyaIla jamani mtoto anaumaaa [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kama kidondaaaaa!
Hata akiwa jamabazi siku akipigwa risasi utalia...
Hawa kina,Zar,Wema,Hamisa n.k sio kua walikua hawaonywi kwao hapana walishaamua kupinda toka enzi mpk mzazi unasema muacheni shauri yake...
Mtu kama Irene kiwia (sitasema mabaya yake) maana sasa hivi kashakua na status,Odemba,TK wote wale haswaa hawa Leo wabaojifanya madada wa status mjuni wameanzia huku kwa kina Misa sema back then hakukua na IG wala Facebook nawajua vzr tu machafu yao yooote wengine mpk kufukuzwa kwao kabisaa wakawa Santiago kwa kina Fide Sinza pale
Wengine wameambulia wazungu n.k wamekua wachamungu na mama maushari [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]maisha hayaendi bila unaafiki jamani
Wengine wakaolewa na mabwana wa Dada zao !
Ila yote mzazi mwanawe akifanikiwa kwenye hizo njia anajiskia fahari etii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ndo maisha!
So mama Hamisa ana haki ya kumlilia mwanawe pia
Wengi humu haswa huku celebrity ni kizazi cha juzi hapa cha IG mna haki ya kumuona Hamisa malaya, mkaanza kumsifia Jack Mengi,mna haki ya kumuona Wema kahaba mkamsifia Zari maana ndo mliowakuta na mambo ya IG!
Wengine masupastaa wamewajulia jamii forum au kusoma kwa shigongo kiasi wawe hvyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mboni anaonekana mdada wa nguvu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]aiseehh!
So I do hope Hamisa is her time now..Siku moja atakuja kuheshimika sana tu hapa hapa bongo....tuombeni uzima!
famousUzi mzima zari zari zariiiii zariiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bosslady yupo vizuri hadi kwenye uzi usiomhusu
Ngoja nikuitie kiboko yako humu ndaniMama ana busara huyu...
Anitafute mzee mwenzie mimi babu yenu nimchomekee mtoto mwingine tumboni mwake...
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] sijasema wotee....mnamuandama hamisa eti kaanza umalaya mdogo wakati vitoto vya darasa La saba vinalala na mabwana...hivi visaka umaarufu bongo vingi vinaanza umalaya mapema,nimesoma mjini hapahapa na niliosoma nao wengi ni maarufu najua jinsi walivyokua wanachezewa ili tu kupata umaarufu kunuka mpk Leo wamepata umaarufu ila wamechezewa sana...hata Lulu tu mfano kaanza ukahaba bado mdogo mpk yanamkutaKama wewe ulitolewa bikra at 14 years old, my dear do not assume majority of us did too. If truly she is 23 today, she was with Dai when she was 14 years. Majizo's child is 4 years old. She was with Majizo for 2 years. Which means she had Majizo's child when she was 19 years old and she started dating Majizo when she was 17. Issorait!!
Hivi what is the age of consent for sex in Tz? Maana the way mwanadada ana taja hii miaka atamuingiza Majizo kwenye shida, maana at 16 or 17, is that not underage?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binam tuanze biashara ya kuuza dagaa na tuwe mabosslady na sisi[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] sijasema wotee....mnamuandama hamisa eti kaanza umalaya mdogo wakati vitoto vya darasa La saba vinalala na mabwana...hivi visaka umaarufu bongo vingi vinaanza umalaya mapema,nimesoma mjini hapahapa na niliosoma nao wengi ni maarufu najua jinsi walivyokua wanachezewa ili tu kupata umaarufu kunuka mpk Leo wamepata umaarufu ila wamechezewa sana...hata Lulu tu mfano kaanza ukahaba bado mdogo mpk yanamkuta
Na huyo majizzo hawezi ingia matatani wala nini!Bongo movie wote wanadanganya umri hata hao unaowasujidia ukute wana zaidi ya hyo ndugu!
Na hata km ikoje hajafika 27 huo ndo ukweli!
Kweli Hamisa panadol[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]utainywa tuu utake usitake!
Poleeeeeee!!!
Hilo nalo neno binamu[emoji3][emoji16][emoji23]mjini heshima pesa...kisu mzigo,shikamoo makelele![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binam tuanze biashara ya kuuza dagaa na tuwe mabosslady na sisi
Mke wa Kanye WestHamisa ndo nan mkuu
Kanye west ndo yule kipa wa liver poolMke wa Kanye West
Kabisaa binaHilo nalo neno binamu[emoji3][emoji16][emoji23]mjini heshima pesa...kisu mzigo,shikamoo makelele!
kwani alifanya nini mbona siwaelewi ""....
Ahsante Dada umemaliza humu tumejaa watakatifu na malaika kibao humu!kuyaona mabaya ya wenzetu tu!Hamisa mkosaji wengine malaikaKila mtu ana makosa na kila mtu hajakamilika. Sasa nyie mnaojifanya kumtukana mama wa watu au Hamisa nyie mmejiangalia?? kuhusu matusi alianza nani kutukana muwe wakweli basi sio kufata mikumbo tuu kuhusu makosa wote wana makosa wote walitukana. Kitu kikubwa ni kugundua kosa na kuacha maisha yaendelee kama yalivyo. Mama wa watu ameomba na amesema mtt alikosea sasa mnaotukana mnajielewa kweli. Inamaana ww ni msafi sana?? Yesu aliwaambia makutano na asiye na dhambi aanze kumtupia mawe mwanamke huyo(ref. yule mwanamke malaya) Hebu Nyamazeni kabisa huyo Dimond angekua ametulia kwa mwanamke wake leo yangetokea haya. Itazameni hyo familia ya huyo Dimond kwanza ndo mumutukane mtt wa watu. Hebu vaeni viatu vya Hamisa kidogo Sitetei kwa yaliyofanyika lakini yalishatokea na binadamu tumeumbiwa makosa.
Ndio huyo huyoKanye west ndo yule kipa wa liver pool
Asante mkuu kwa kunitoa gizan usiku mwemaNdio huyo huyo
Nawe piaAsante mkuu kwa kunitoa gizan usiku mwema