Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Ila jamani mtoto anaumaaa [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kama kidondaaaaa!

Hata akiwa jamabazi siku akipigwa risasi utalia...

Hawa kina,Zar,Wema,Hamisa n.k sio kua walikua hawaonywi kwao hapana walishaamua kupinda toka enzi mpk mzazi unasema muacheni shauri yake...

Mtu kama Irene kiwia (sitasema mabaya yake) maana sasa hivi kashakua na status,Odemba,TK wote wale haswaa hawa Leo wabaojifanya madada wa status mjuni wameanzia huku kwa kina Misa sema back then hakukua na IG wala Facebook nawajua vzr tu machafu yao yooote wengine mpk kufukuzwa kwao kabisaa wakawa Santiago kwa kina Fide Sinza pale

Wengine wameambulia wazungu n.k wamekua wachamungu na mama maushari [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]maisha hayaendi bila unaafiki jamani

Wengine wakaolewa na mabwana wa Dada zao !

Ila yote mzazi mwanawe akifanikiwa kwenye hizo njia anajiskia fahari etii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ndo maisha!
So mama Hamisa ana haki ya kumlilia mwanawe pia

Wengi humu haswa huku celebrity ni kizazi cha juzi hapa cha IG mna haki ya kumuona Hamisa malaya, mkaanza kumsifia Jack Mengi,mna haki ya kumuona Wema kahaba mkamsifia Zari maana ndo mliowakuta na mambo ya IG!
Wengine masupastaa wamewajulia jamii forum au kusoma kwa shigongo kiasi wawe hvyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo mboni anaonekana mdada wa nguvu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]aiseehh!

So I do hope Hamisa is her time now..Siku moja atakuja kuheshimika sana tu hapa hapa bongo....tuombeni uzima!
Hamisa ndo nan mkuu
 
Wewe naye ile ilikuwa siku visiku hata sio mwezi tangu ua jeusi.
Na mengine alisema hayaongelei.. kama ilivyo sasa hajasema kilichojiri zaidi ya zawadi kutoka kwa mzazi mwenzie au mumewe.. eeeeh utalia ati
Wameshapost wanashikana shikana kitandan na viuno anamkatia mbwa wake simba ...
 
Ila jamani mtoto anaumaaa [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kama kidondaaaaa!

Hata akiwa jamabazi siku akipigwa risasi utalia...

Hawa kina,Zar,Wema,Hamisa n.k sio kua walikua hawaonywi kwao hapana walishaamua kupinda toka enzi mpk mzazi unasema muacheni shauri yake...

Mtu kama Irene kiwia (sitasema mabaya yake) maana sasa hivi kashakua na status,Odemba,TK wote wale haswaa hawa Leo wabaojifanya madada wa status mjuni wameanzia huku kwa kina Misa sema back then hakukua na IG wala Facebook nawajua vzr tu machafu yao yooote wengine mpk kufukuzwa kwao kabisaa wakawa Santiago kwa kina Fide Sinza pale

Wengine wameambulia wazungu n.k wamekua wachamungu na mama maushari [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]maisha hayaendi bila unaafiki jamani

Wengine wakaolewa na mabwana wa Dada zao !

Ila yote mzazi mwanawe akifanikiwa kwenye hizo njia anajiskia fahari etii..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hayo ndo maisha!
So mama Hamisa ana haki ya kumlilia mwanawe pia

Wengi humu haswa huku celebrity ni kizazi cha juzi hapa cha IG mna haki ya kumuona Hamisa malaya, mkaanza kumsifia Jack Mengi,mna haki ya kumuona Wema kahaba mkamsifia Zari maana ndo mliowakuta na mambo ya IG!
Wengine masupastaa wamewajulia jamii forum au kusoma kwa shigongo kiasi wawe hvyo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo mboni anaonekana mdada wa nguvu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]aiseehh!

So I do hope Hamisa is her time now..Siku moja atakuja kuheshimika sana tu hapa hapa bongo....tuombeni uzima!
unamuachaje irene uwoya
mke wa mengi je
sema enzi zile no insta
mke wa mengi alipigana na nani vile kipindi kile kumgombea kinje baada ya hapo ndio mengi akamnyakua
 
Uzi mzima zari zari zariiiii zariiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bosslady yupo vizuri hadi kwenye uzi usiomhusu
famous
 
Kama wewe ulitolewa bikra at 14 years old, my dear do not assume majority of us did too. If truly she is 23 today, she was with Dai when she was 14 years. Majizo's child is 4 years old. She was with Majizo for 2 years. Which means she had Majizo's child when she was 19 years old and she started dating Majizo when she was 17. Issorait!!

Hivi what is the age of consent for sex in Tz? Maana the way mwanadada ana taja hii miaka atamuingiza Majizo kwenye shida, maana at 16 or 17, is that not underage?
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] sijasema wotee....mnamuandama hamisa eti kaanza umalaya mdogo wakati vitoto vya darasa La saba vinalala na mabwana...hivi visaka umaarufu bongo vingi vinaanza umalaya mapema,nimesoma mjini hapahapa na niliosoma nao wengi ni maarufu najua jinsi walivyokua wanachezewa ili tu kupata umaarufu kunuka mpk Leo wamepata umaarufu ila wamechezewa sana...hata Lulu tu mfano kaanza ukahaba bado mdogo mpk yanamkuta

Na huyo majizzo hawezi ingia matatani wala nini!Bongo movie wote wanadanganya umri hata hao unaowasujidia ukute wana zaidi ya hyo ndugu!

Na hata km ikoje hajafika 27 huo ndo ukweli!
Kweli Hamisa panadol[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]utainywa tuu utake usitake!

Poleeeeeee!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binam tuanze biashara ya kuuza dagaa na tuwe mabosslady na sisi
 
Hilo nalo neno binamu[emoji3][emoji16][emoji23]mjini heshima pesa...kisu mzigo,shikamoo makelele!
 
Kila mtu ana makosa na kila mtu hajakamilika. Sasa nyie mnaojifanya kumtukana mama wa watu au Hamisa nyie mmejiangalia?? kuhusu matusi alianza nani kutukana muwe wakweli basi sio kufata mikumbo tuu kuhusu makosa wote wana makosa wote walitukana. Kitu kikubwa ni kugundua kosa na kuacha maisha yaendelee kama yalivyo. Mama wa watu ameomba na amesema mtt alikosea sasa mnaotukana mnajielewa kweli. Inamaana ww ni msafi sana?? Yesu aliwaambia makutano na asiye na dhambi aanze kumtupia mawe mwanamke huyo(ref. yule mwanamke malaya) Hebu Nyamazeni kabisa huyo Dimond angekua ametulia kwa mwanamke wake leo yangetokea haya. Itazameni hyo familia ya huyo Dimond kwanza ndo mumutukane mtt wa watu. Hebu vaeni viatu vya Hamisa kidogo Sitetei kwa yaliyofanyika lakini yalishatokea na binadamu tumeumbiwa makosa.
 
Eti anazaa na na wanaume wa watu hao wanaume si watulie na ndoa zao na kwanza katika wote hapo mwanume wa mtu ni yupi hapo hakuna mwenye ndoa hapo. Mbona hamumusemi dimond aliezaa na mke wa mtu(Zari) ?
 
kwani alifanya nini mbona siwaelewi ""....

Kut.ombwa hovyo na kujilazimisha kuolewa na mtu aliyekuwa na mahusiano na mwingine. Familia ya jamaa wakahisi huenda Hamisa ana mkosi na atailaani familia....hivyo Mama wa jamaa akajitoa muhanga na akamvizia Hamisa kwa kumpa kibondo cha nguvu mpaka akakimbia bila chupi (chafu) na wigi la kuokota likamtoka mpaka leo lipo kule Madale linatumiwa kwa kupigia deki. In short, demu yuko so fake.
 
Kila mtu ana makosa na kila mtu hajakamilika. Sasa nyie mnaojifanya kumtukana mama wa watu au Hamisa nyie mmejiangalia?? kuhusu matusi alianza nani kutukana muwe wakweli basi sio kufata mikumbo tuu kuhusu makosa wote wana makosa wote walitukana. Kitu kikubwa ni kugundua kosa na kuacha maisha yaendelee kama yalivyo. Mama wa watu ameomba na amesema mtt alikosea sasa mnaotukana mnajielewa kweli. Inamaana ww ni msafi sana?? Yesu aliwaambia makutano na asiye na dhambi aanze kumtupia mawe mwanamke huyo(ref. yule mwanamke malaya) Hebu Nyamazeni kabisa huyo Dimond angekua ametulia kwa mwanamke wake leo yangetokea haya. Itazameni hyo familia ya huyo Dimond kwanza ndo mumutukane mtt wa watu. Hebu vaeni viatu vya Hamisa kidogo Sitetei kwa yaliyofanyika lakini yalishatokea na binadamu tumeumbiwa makosa.
Ahsante Dada umemaliza humu tumejaa watakatifu na malaika kibao humu!kuyaona mabaya ya wenzetu tu!Hamisa mkosaji wengine malaika
 
Back
Top Bottom