Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Sasa msamaha kwa kosa gani? kwani ina maana wengine hawakuwai kutukanwa kwa sababu ya mwanae? mwanae anaogopa matusi halafu ustaa anaupenda bila kusahau kiki hahahhaha
Huyu Mama pengine amechanganyikiwa....hivi kwa mchezo aliohamua kucheza mwanae alitegemea apate nini zaidi ya hayo? Yeye alitakiwa kujua mapema matokeo ya mchezo anao ucheza mwanae......
Kutafuta huruma za kuomba msamaha ni upumbavu tuu...... mwanae ana vuna alichopanda...
Matusi ndio malipo ya kazi anayoifanya mwanae kwa hiyo kama anaogopa matusi ampe taarifa mwanae abane miguu...
Huu ni uchizi tuuu hakuna cha kuumwa tumbo la uzazi wala nini ni upumbavu tuuu...
 
Huyu mama na mwanae kama machizi muda wa kudanga kurusha vijembe mama haoni, yakimrudia anarudi kwa huruma ooh Mungu anapanga, ni Mungu kapanga huyo Mungu anaepanga uzinzi ni yupi???
Watulie tu wanyooshwe that's karma
 
siku kakisuuziwa rungu kanapost pussy soo good kakikimbiwa Mungu bado hajanifikisha anapotaka, kipuuzi tu hicho huyo mama nae. .......
 
Unajua asili ya binadamu tunapenda kuonewa huruma ndio Huyu mama na Mwanaye
 
Hamisa ndio abane miguu ,zari aachie miguu eti,,yaan kwenye haki ya kuzaa na daimond hapa duniani ni zari au siwaelewi nyie watu
 
Angekuwa mama dangote angechambajee
eti yule mama ana mwambia mwenzie kuwa hakui kusugua gaga "" wakati yeye mwenyewe "" alikuwa hata hajui kuoga vizuri na kutakata"" mpaka baada ya mwanae kuanza kumiliki senti ..walikuwa wanaishi tandale kule mbele ya nyumba kuna mifereji ya Maji machafu "" maisha haya "" usikute wakati huo alikuwa ana vaa chupi 1 week nzima "....
 
Binti sio innocent au victim kama anavyotaka kujiweka,kachafu ka mwili hadi mdomo kiroporopo balaa,kalishaanza kujiita mama mjengo
Hapo hakuna hata innocent mkuu"".. huyo binti chenga tena za Mchele "" Jamaa yake nae chenga "familia Yke ndio kabisaaa ilipaswa kiwa na cheti cha milembe "" Maana huwezi kutenda wema halafu wakauthamini lazima utaonekana mbaya ...yaani ile familia ilikuweza kuishi nayo lazima uwe mnywaji wa Konyagi ""...... nachosikitika nikwamba " zari amejiingiza kwenye kundi la watu waswahili mnooo"" na hili litakuja kumtafuna akili trust me ".....
 
Bora hata wee umewajuaa kuliko kumuona hamisa mbaya tu,, hebu angalia familia ya daimond nzima meneja wake wanamuona misa mbaya famikia ya zari wanamuona misa mbaya yaan hamisa yupo na mama yake tu wanajitetea ,,wenyewe wapo wengiiii akijitetea hamisa anakuwa mbayaa eti ila zari akitukana kizungu sawa,,,halaf misa hakuingilia mapenzi zari alimkuta misa akiwa na daimond ,na hapo zari na misa hawapindui kwa mond,zari kapelekwa zawadi ya pafyum na dai keshapost kushukuru ukute keshaliwa tena,daimond balaaa ana asali
 
FAme ....zari Anataka kuendelea kubaki mbele ya front page " hamisa nae hicho ndio kilichomfanya mpaka autangazie ulimwengu kuwa yupo na domo ""... "" alikuwa anautaka umaarufu kwa nguvu yoyote "" so hoja yake ya kutembea na platinum kbla ya zari haina mashiko " mbona wolper aliliwa kitambo tu na hatujamuona akiitumia hicho kigezo kama cha kujihallalishia kuwa na domo " kuna kina Naj .sepenga " na wengine lukuki"" Issue ni kwamba hamisa " alikuwa anautaka umaarufu haswaaa" but alijisahau kuwa alijiingiza kwenye familia ya masikini aliyepata ............ then speaking of zari naye kwakua anapenda kuwa maarufu amekubali kugeuzwa kubwa jinga (Tomaso ) maana alivyosema kuwa ameachana na domo hoja Yke kubwa ilikuwa ni kutojiheshimu kwa domo " so kilichomfanya arejee tena kwake nikipi wakati mwezi ulioisha tu domo alitoka kuitwa na TCRA baada ya kupost video clip akiwa na hamisa na mwnamke mwingine akicheza nae mziki ....je Watoto wake zari hawaoni tena kuwa mama yao anatoka na baba anaye mdhalilisha "" au hao Watoto wamerudi tena utotoni " "maaana alisema kuwa Watoto wake wameshakuwa so hawezi kuwa kwenye mahusiano na mtu anayeshindwa kujiheshimu anapost video clip mitandaoni akiwa kwenye mikao ya kimahaba na wanawake wengine huku watoto wake wanaona "" so kama wameamua kuwa na domo wa vumilie tu " maaana Jamaa hawezi kuacha style hiyo ya maisha " Maana ndiyo inayo changia "kuweza Ku survive mjini ""........
 
wewe tena hata sikushangai
mada ni mama hamisa wewe unatuletea mambo ya hamisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…