Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hata zari hatakiwi basi tu ndio anazalilishwa mno pamoja na kuoneshwa public bora hata kufichwaNdo ajue hatakiwi ndo nini kufichwa vile, yani diamond kamficha Hamisa utadhani anaficha Makalio, kama zari alimkuta mbona hajawahi oneshwa Yani kakubali kufichwa akaja zari mivacay ya kukata na shoka mipicha ya kufa mtu ye kafichwa tu!!! Anasubiri mama na Esma walale ndo anapita ananyata akatiwe daaah huyo dem hatakiwi anafosi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana kazi sana teh aliona zari anafaidi haya kaachiwa zigo la tandale apambane sio kulialia sahivi Mungu sijui hajamfikisha wapi pyeeeeeee
Pussy soo gud apambane
Acha tu apigwe miti kwani kuna tabu gani mkuu ?Mtoto wake nae anapinda mno kupigwa miti
Ila ya Mobetto matata maana inamliza sanahamisa zari ..wote ni wahanga wa so called karma... zari kaipata kwa mumewe ..hamisa naye kaipata toka kwa zari ""..... Maisha acha kabisa
Sasa hiyo bingo aitumie vizuri kulinda reputation yake. Biashara zinatoka haya watoto wake anawaweka kwenye nafasi gani wakikua wasione maandishi aliyokua anatukanwa mama yao? Sometimes pesa/fame sio kila kitu kuna watoto wawili watakua aangalie na hiloNi kweli hapo alikosea sanaa sanaaa lakin kuzaa na daimond ni bingo kwake kumbuka sasa hivi anafanya biashara ujue maisha ni kama kamali
Ndo kishapata umaarufu tushamjua ni side chick of the century kufichwa miaka tisa si mchezo....Fame ...hamisa alikuwa Anataka kuwa na jina kubwa zaidi ya vile alivyokuwa awali
hatari sana wallahi ...nimecheka mno mimi ""...Hapo sasa majanga. Mama mtu anaitwa bibi
Hao achana nao "" ukiona mpaka mtu anakuwa ni fan wa hamisa ...basi ujue kichwa chake kina ukoko .....lini hamisa amewahi kuwa na hela "",.....?Mimi sio shabiki wa haya mambo but binafsi nimeanza kumjua zari kbla hata domo hajulikani atakuwa lini star ...na wakati huo alikuwa anatajwa na bloggers kama mwanamke Mwenye pesa Africa mashariki ...najua zilikuwa ni kick "" but hela ya kusumbua mjini alikuwa nayo ....
Hiyo post mbona siioni ni namba ngapi?Aiseee ..hahhaa wanafanana mnooo "" sasa mbona hamuweki IG ...daahh wabongo shikamoni ...
Evelyn Salt Numbisa
Mmh..ila huyu mtoto nae kazidi kujishusha, kama njaa nae imemzid jamani kwa nn ana mngangania kila siku na kudhalilishwa kote huku.!!!Diamond Kurudi Kwa Zari ndio Chanzo cha mitusi nadhanii
Ha ha haha side chick of what""...... hapo kwenye suala la umri na mabinti wa kibongo ndio acha kabisa ....ila huyu demu ana bahati mbaya ...alikuwa ana chambwa na lulu now katokea tena huku ...ni michambo tu alwaysNdo kishapata umaarufu tushamjua ni side chick of the century kufichwa miaka tisa si mchezo....
Halafu kama ana 24 miaka tisa nyuma alikua na umri gani teh teh shkamoo umri wa mabinti wa kibongo umri kurudi rivasi
Hahahaa....aiseeee"" kwahiyo ni karma baba lao ....??Ila ya Mobetto matata maana inamliza sana
Mama ana busara huyu...
Anitafute mzee mwenzie mimi babu yenu nimchomekee mtoto mwingine tumboni mwake...
Wahaa ndio wamezua balaa lote unatuonea wazaramo
post no..79 ..mkuuHiyo post mbona siioni ni namba ngapi?
Ha hahaha ...wanachamba haoWaliozaliwa Manzese wote wazaramo, hakuna cha wahaa wala wahaya .
Kabisa Mungu mwema siku zote.Hahahaa....aiseeee"" kwahiyo ni karma baba lao ....??
Amnaaa " hahaa lowlife wenzangu hao " hawawezi nifanya kitu ......"" angekuwa na hela asingeutafuta umaarufu kwa kutanua miguu"".... angetumia hela zake " kwa kununua kick kwa shigongo na page za udaku "" angeupata umaatufu faster ..."......tofauti na hivi anavyonyanyasika now "....domo kamsukumia zigo la kinyesi " halafu anajifanya yeye kama hausiki vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ukoko,angalia lowlife wasije kukugaya. Watakwambia enzi za majizo alikua na hela