hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Aisse....hahaaKabisa Mungu mwema siku zote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisse....hahaaKabisa Mungu mwema siku zote.
Dada yangu samahani mi mgeni kidogo mtaa huu, hivi tofauti ya Hamisa na Zari ni kitu gani? Naona kama lawama zinamwendea mtu mmoja tu.Binti sio innocent au victim kama anavyotaka kujiweka,kachafu ka mwili hadi mdomo kiroporopo balaa,kalishaanza kujiita mama mjengo
angemfungia safari???Hata zari hatakiwi basi tu ndio anazalilishwa mno pamoja na kuoneshwa public bora hata kufichwa
Ndo matokeo ya kumlea mtoto kama alivyomlea na mwisho wake adhabu anaipata kwakuwa kuna makosa aliyafanya kwa kusudi kama mama, kumtumia mwanae kama kitega uchumi ni lazima akubali na upande wa pili wa shilingi.
Anaposema eti mwezi huu mtukufu ndo watu waache kumtusi mwanae je hakukua na Ramadhani kipindi kile anamtumia mwanae??? Akae kimya na awaase wazazi wenzie wenye vitoto vilivyokaa kislay queen kuwa waviangalie kwa jicho la 3! Muangalie mama Wema anavyoishi kimashaka mashaka! Mama lulu sijui kama hata usingizi anaupata! Wazazi wa Nandy kuona mtoto wao anavyodhalilika na chupi akiwa na buzi mitandaoni! Mamaake na Gigy money hata kama ni kahaba mstaafu lakini mmmh!!!!
Eti kubwa jinga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]FAme ....zari Anataka kuendelea kubaki mbele ya front page " hamisa nae hicho ndio kilichomfanya mpaka autangazie ulimwengu kuwa yupo na domo ""... "" alikuwa anautaka umaarufu kwa nguvu yoyote "" so hoja yake ya kutembea na platinum kbla ya zari haina mashiko " mbona wolper aliliwa kitambo tu na hatujamuona akiitumia hicho kigezo kama cha kujihallalishia kuwa na domo " kuna kina Naj .sepenga " na wengine lukuki"" Issue ni kwamba hamisa " alikuwa anautaka umaarufu haswaaa" but alijisahau kuwa alijiingiza kwenye familia ya masikini aliyepata ............ then speaking of zari naye kwakua anapenda kuwa maarufu amekubali kugeuzwa kubwa jinga (Tomaso ) maana alivyosema kuwa ameachana na domo hoja Yke kubwa ilikuwa ni kutojiheshimu kwa domo " so kilichomfanya arejee tena kwake nikipi wakati mwezi ulioisha tu domo alitoka kuitwa na TCRA baada ya kupost video clip akiwa na hamisa na mwnamke mwingine akicheza nae mziki ....je Watoto wake zari hawaoni tena kuwa mama yao anatoka na baba anaye mdhalilisha "" au hao Watoto wamerudi tena utotoni " "maaana alisema kuwa Watoto wake wameshakuwa so hawezi kuwa kwenye mahusiano na mtu anayeshindwa kujiheshimu anapost video clip mitandaoni akiwa kwenye mikao ya kimahaba na wanawake wengine huku watoto wake wanaona "" so kama wameamua kuwa na domo wa vumilie tu " maaana Jamaa hawezi kuacha style hiyo ya maisha " Maana ndiyo inayo changia "kuweza Ku survive mjini ""........
Misa alikuwa na dai before,na kumbuka dai hajaoa mpaka leo na kazaa nao wote na daimond dini inaruhuru kuoa wote wawili au watatu,wapendeni wote tu
Kuhusu hiyo mbona kuna watu wanazaa kabisa na waume za watu hamuoni ajabu sembuse misa kuzaa na dai akiwa na hawara zari
Hakuna cha karma hapo
wewe tena hata sikushangai
mada ni mama hamisa wewe unatuletea mambo ya hamisa
Ha hahaa sawaaaa"".....Eti kubwa jinga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu taratibu basi.
Dada yangu samahani mi mgeni kidogo mtaa huu, hivi tofauti ya Hamisa na Zari ni kitu gani? Naona kama lawama zinamwendea mtu mmoja tu.
Hivi mondi alishafunga ndoa na Zari! Nimeuliza kwa wema tu
Hahahaa"" mzee baba watu wanakula matapishi yao "" Maisha bila ya unafiki hayaendi ...""..Noana mapicha picha tu hapa zari karudiana na mond aliemkana bbc? Kaaaaa mi naona zari kazingua kashindwa kusimamia kile anachoamini
Hivi hamisa alikuwa na Majizo kipindi gani na alikuwa na Diamond kipindi gani tena kabla ya Zari? Mimi mbona hesabu za Hamisa kuwa na Diamond kabla ya Zari bado sijazielewa?Misa alikuwa na dai before,na kumbuka dai hajaoa mpaka leo na kazaa nao wote na daimond dini inaruhuru kuoa wote wawili au watatu,wapendeni wote tu
Kuhusu hiyo mbona kuna watu wanazaa kabisa na waume za watu hamuoni ajabu sembuse misa kuzaa na dai akiwa na hawara zari
Hakuna cha karma hapo
ha ha huko ig tunamtukana kama kawa nikiamka na stress za shemela wenu naenda kumchambaaaaaa mpaka nasuuzika😀😀😀😀😀Ana kazi sana teh aliona zari anafaidi haya kaachiwa zigo la tandale apambane sio kulialia sahivi Mungu sijui hajamfikisha wapi pyeeeeeee
Pussy soo gud apambane
kwani hamisa alipata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu mkuu""....? Mimi nilidhani kwanza kabla ya kumshutumu Hamisa ...basi shutuma hizi zingepaswa kuanzia kwenye familia ya diamond na diamond mwenyewe...maana wakati diamond anashiriki kingono alikuwa anaijua hatari ambayo anaipika "" hilo moja "".....pili haiwezekani kwa familia yenye utu " upendo na maadili " ikakubali kumpokea mwanamke mwingine na kumsogeza karibu na kukubali kuwa nimkwe wao "" wakati wanajua kuwa mtoto/kaka yao ana mwanamke aliyezaa nae Watoto "" tena Africa mashariki yote inajua kuhusu mahusiano yao ....lakini mbona hilo hawakujali wala kuliona wakampa support kubwa tu ya kutosha ...na sitaki kuamini kwamba walikuwa hawashiriki kumsema vibaya zari pindi wanapokuwa na hamisa .....hivi kweli watu wenye akili timamu zenu mmeamua kufumba akili na kutiliona hili kuwa nitatizo kubwa "" yaani kabisa hamtaki kuona kuwa hii familia ni member expert wa unafiki majungu .. na uchonganishi ....imagine leo zari anarudiana na diamond atakuwa na imani ipi na mama Yke mkwe wakati walionyesha kumpa support hamisa ...kipindi ambacho yeye alikuwa na mahusiano na dai .......narudia tena hamisa ana matatizo lakini hiyo familia ya diamond NI zaidi ya matatizo ...
Ifike mahala muwe mnajiongeza basiiiiiii " na Hiyo ndio mantik ya FORUM hii kuitwa " home of great thinkers.......ili kuwa inawataka members wake kuwa wadadisi na sio Bendera fuata upepo
KWAHERINI
sasa hauoni mkuu ...kama ameingia kwenye league ya kipuuzi wakati kwa level ya umri na knowledge Yke alipaswa kuwa ametulia na watu wa maana kama kina Helen magese "",.. sijui " nyie but mimi kwa upande wangu naona nikujidhalilisha tu " na kuwa Fanya watu wamchukulie poa......"""
Nashukuru nimekuelewa. .kumbe mmoja alishatambulishwa mwingine ni kiherehere.Hawajafunga ndoa, ila alishamtambulisha Zari kama mpenzi wake na mwenza wake. Hivi ni jamii gani hii imekazana kuhalalisha mwanamke kuzaa na mwanaume ambae ana mwanamke wake? Huyo Hamisa umemuona lini Diamond amemtambulisha kama mwenza wake mdogo? Mbona Dai ana mtreat Hamisa kama mistake? ndio mjue hata Dai alikua anakidhi haja za mwili wake ila anajua ni nani anafaa kuwa mwenza. Dai mwenyewe alisema kwa mdomo wake kwamba nia ya Hamisa ilikua kumuumiza Zari. Embu rejea interview yake. Na ndio Dai akawa ana mwambia Zari hajamkosea mtu, kama anayefaa kuumizwa ni yeye Dai. But Hamisa hakuona hilo na vijembe vyake kwa Zari ndio vimemponza.
Acha utani? Kama una namba yake naombaMtoto wake nae anapinda mno kupigwa miti
Hivi lakini huyo jamaa yenu nae mbona havai soksi? ?All in all, Hamisa too alijua what she was doing. Familia ya Dai tunaijua sana na wao sio wasafi ila tunachosema hapa Hamisa does not deserve any sympathy. She made her bed, she should lie in it. Babu Tale alimuonya kabla haja beba mimba, na akamuonya Dai pia, but we all know, wanaume wakitaka kusuuza rungu hawajalii ndio maana mwanamke lazima uwe smart bana maana mwisho mzigo humuelemea mwanamke. Hamisa should have known better.
Yeye Hamisa si ndio alisema kwamba watu wanamuonea wivu kwa vile amezaa na wanaume wenye pesa? Ndio ujue akili za huyu msichana sasa.
Na ubaki huko hukoMama ana busara huyu...
Anitafute mzee mwenzie mimi babu yenu nimchomekee mtoto mwingine tumboni mwake...