Ni hiviiiiii nashindwa kuwaqoute wote nipo busy,, humu wengi mwajifanya kumponda misa utafikiri nyinyi wasafi sana ,utafikiri hamjawah kuwa na mahusiano ya hivyo au haya mambo kutokea yamemtokea misa tu,watu wanazaa kabisa na waume za watu wa ndoa kitu gani daimond,kimewauma sana misa kuzaa na daimond mnatamani kufa kwani zari ni nanii haswa yaan mlitaka daimond asizae na mtanzania mwenzie azae tu na wa nje,misa anachokifanya ni wengi wanafanya iwe ndugu zenu au nyinyi wenyewe humu ndani ukute hapo mlipo mmeng'anang'ana na waume za watu na mmewazalia juu mkija jf misa malaya,misa mchafu msipende kujaji sana, Hamisa ni mzuri na ni mrembo na kazaa na wanaume ambao wako hot hapo Dar,sio nyie tu kimewauma hata watu maarufu wameumia walitamani wazae na daimond wajulikane ,na inafahamika mwanamke anapenda mwanaume maarufu,mwenye pesa,mwenye kipaji,mwenye nguvu katika jamiii..
Wanaume na nyinyi ukute hapa mnaponda hamisa lakin iule dm mnavyohangaika kumpata mna maana sasa nyie,hata ushoga huwa mnauponda lakin wataje ndio nyie mkija jf mnaponda,,,punguzeni unafiki mlitaka mama mobeto amtetee nanii kama sio mwanae ..
La mwisho mtahangaika bure hamisa na zari wote hawapindui kwa daimond na atakuwa nao wote,daimond hamatambulishi misa hampendiii angezaa nae? Mbona zari alitambulishwa kila kona na akafurahishwa mpaka kulia BBC bora kufichwa kuliko kuwekwa hadharani halaf unaibishwa kutwa kucha.
Washaurini na ndugu zenu waache kuzaa na waume za watu sio hamisa ,mnavyosema hamisa kana kwamba familia zenu safi hakuna alozaa na mme wa mtu acheni unafikiiii