Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Hakuna lolote ubatili mtupu, role ya mzazi kwa mwanao umeitekeleza kabla ya kupigia kelele jamii, ni usanii na hekaya za abunuasi tu hizo hakuna jipya, waendelee "kuuza" kinachowaweka mjini tu.
 
Ndo matokeo ya kumlea mtoto kama alivyomlea na mwisho wake adhabu anaipata kwakuwa kuna makosa aliyafanya kwa kusudi kama mama, kumtumia mwanae kama kitega uchumi ni lazima akubali na upande wa pili wa shilingi.
Anaposema eti mwezi huu mtukufu ndo watu waache kumtusi mwanae je hakukua na Ramadhani kipindi kile anamtumia mwanae??? Akae kimya na awaase wazazi wenzie wenye vitoto vilivyokaa kislay queen kuwa waviangalie kwa jicho la 3! Muangalie mama Wema anavyoishi kimashaka mashaka! Mama lulu sijui kama hata usingizi anaupata! Wazazi wa Nandy kuona mtoto wao anavyodhalilika na chupi akiwa na buzi mitandaoni! Mamaake na Gigy money hata kama ni kahaba mstaafu lakini mmmh!!!!
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami kama mama nae hajitambui,wakati kanaleta mashauzi mbona hakumkanya
Ushaiba mwanamme wa mwenzako kwann usile kimya kimya
Ss hv ndo anaona mwanae anatukanwa
Asofunzwa na mama anafunzwa na ulimwengu
Wacha wapambane na hali zao
 
fe462d6b0606736fc65665f65ef7b4d5.gif
 
Bora hata wee umewajuaa kuliko kumuona hamisa mbaya tu,, hebu angalia familia ya daimond nzima meneja wake wanamuona misa mbaya famikia ya zari wanamuona misa mbaya yaan hamisa yupo na mama yake tu wanajitetea ,,wenyewe wapo wengiiii akijitetea hamisa anakuwa mbayaa eti ila zari akitukana kizungu sawa,,,halaf misa hakuingilia mapenzi zari alimkuta misa akiwa na daimond ,na hapo zari na misa hawapindui kwa mond,zari kapelekwa zawadi ya pafyum na dai keshapost kushukuru ukute keshaliwa tena,daimond balaaa ana asali
Hahahha....zari kasahau kama alikua akimwita mbwa sasa hv anamshukuru mbwa wake kwakumnogesha.
 
Hamisa ndio abane miguu ,zari aachie miguu eti,,yaan kwenye haki ya kuzaa na daimond hapa duniani ni zari au siwaelewi nyie watu
Pengi ungerudia kusoma nilicho kiandika....anacho kipata hamisa ni matokeo ya michezo aliyo chagua hivyo kama anaogopa matusi abane miguu.....michezo ya kuachia miguu ina matokeo mengi na ndio hayo sasa mtu anapo anza kulia lia kutafuta huruma mimi humuita mpumbavu tuu....wote wachezao mchezo wa kupanua miguu wanatakiwa kujua kuna mavuno wasitafute huruma......waendelee na vita........
Wenzie wamepindua meza kibabe aache kulia lia kupitia mama yake apambane .....hakuna huruma vitani...
"Mama Sabrina nakupenda"
 
FAme ....zari Anataka kuendelea kubaki mbele ya front page " hamisa nae hicho ndio kilichomfanya mpaka autangazie ulimwengu kuwa yupo na domo ""... "" alikuwa anautaka umaarufu kwa nguvu yoyote "" so hoja yake ya kutembea na platinum kbla ya zari haina mashiko " mbona wolper aliliwa kitambo tu na hatujamuona akiitumia hicho kigezo kama cha kujihallalishia kuwa na domo " kuna kina Naj .sepenga " na wengine lukuki"" Issue ni kwamba hamisa " alikuwa anautaka umaarufu haswaaa" but alijisahau kuwa alijiingiza kwenye familia ya masikini aliyepata ............ then speaking of zari naye kwakua anapenda kuwa maarufu amekubali kugeuzwa kubwa jinga (Tomaso ) maana alivyosema kuwa ameachana na domo hoja Yke kubwa ilikuwa ni kutojiheshimu kwa domo " so kilichomfanya arejee tena kwake nikipi wakati mwezi ulioisha tu domo alitoka kuitwa na TCRA baada ya kupost video clip akiwa na hamisa na mwnamke mwingine akicheza nae mziki ....je Watoto wake zari hawaoni tena kuwa mama yao anatoka na baba anaye mdhalilisha "" au hao Watoto wamerudi tena utotoni " "maaana alisema kuwa Watoto wake wameshakuwa so hawezi kuwa kwenye mahusiano na mtu anayeshindwa kujiheshimu anapost video clip mitandaoni akiwa kwenye mikao ya kimahaba huku na wanae wanaona ""....
Yaan we ndio nakuelewa kabisa unawaona wote na unawalinganisha wengine humu ni chuki tu

Zari anapenda sana umaarufu na camera ndio furaha yake,,hamisa nae kaona atumie fursa wala wasiumie,,na hapo daimomd hatpwaacha wote maana nae anataka kuzungumziwa zaidiii

Aisee hearly nimekupenda bure umenichambulia haswa ambae hatokuelewa basii natamani hata taby akusome maana anamchukia hamisa utafiki baba wa kambo
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami kama mama nae hajitambui,wakati kanaleta mashauzi mbona hakumkanya
Ushaiba mwanamme wa mwenzako kwann usile kimya kimya
Ss hv ndo anaona mwanae anatukanwa
Asofunzwa na mama anafunzwa na ulimwengu
Wacha wapambane na hali zao
Hamisa hajaiba mwanaume wa yeyote yule,
 
Nimchukue nani sasa?? Hamissa?? Kwa namna kalivyopigwa miti si nitaingia mzima na pyumbu zote?
ha ha ha hata mimi ningekuwa wa kiume hawa kina hamisa wema na wenzao nisingekula huku uswazi kuna vikuku vya kienyeji chuchu konziiii japo na vyenyewe inabidi ukikikamata unakiogesha kwanza ndo unakikanyaga tenda kwa kinga na kwa kuwahi maana vina njaa balaa kwahiyo haviachi kitu
 
Yaan we ndio nakuelewa kabisa unawaona wote na unawalinganisha wengine humu ni chuki tu

Zari anapenda sana umaarufu na camera ndio furaha yake,,hamisa nae kaona atumie fursa wala wasiumie,,na hapo daimomd hatpwaacha wote maana nae anataka kuzungumziwa zaidiii

Aisee hearly nimekupenda bure umenichambulia haswa ambae hatokuelewa basii natamani hata taby akusome maana anamchukia hamisa utafiki baba wa kambo
Hao wameweka mahaba mbele achana nao "".... wajua ukiwa na mahaba kwenye kitu/jambo Fulani "" hata chongo utasema ni kengeza "".....
 
Pengi ungerudia kusoma nilicho kiandika....anacho kipata hamisa ni matokeo ya michezo aliyo chagua hivyo kama anaogopa matusi abane miguu.....michezo ya kuachia miguu ina matokeo mengi na ndio hayo sasa mtu anapo anza kulia lia kutafuta huruma mimi humuita mpumbavu tuu....wote wachezao mchezo wa kupanua miguu wanatakiwa kujua kuna mavuno wasitafute huruma......waendelee na vita........
Wenzie wamepindua meza kibabe aache kulia lia kupitia mama yake apambane .....hakuna huruma vitani...
"Mama Sabrina nakupenda"
Sawa lakin mbona wengi tu hatubani miguu hivi unadhani ukishaonja unaacha,kama hakuna huruma vitani mwache apambane nae

Nakupenda pia Ruta
 
Hao wameweka mahaba mbele achana nao "".... wajua ukiwa na mahaba kwenye kitu/jambo Fulani "" hata chongo utasema ni kengeza "".....
Kweli kabisa inaonekana domo anajua jamani akiwainamia kule chini ni hatari acha waaibishwe mpaka wakomee
 
Yaan we ndio nakuelewa kabisa unawaona wote na unawalinganisha wengine humu ni chuki tu

Zari anapenda sana umaarufu na camera ndio furaha yake,,hamisa nae kaona atumie fursa wala wasiumie,,na hapo daimomd hatpwaacha wote maana nae anataka kuzungumziwa zaidiii

Aisee hearly nimekupenda bure umenichambulia haswa ambae hatokuelewa basii natamani hata taby akusome maana anamchukia hamisa utafiki baba wa kambo
huyo " hamisa mwehu " hiyo familia ya domo na domo mwenyewe wehu "" zaidi ya kujifunza namna ya kuweza kutafuta maisha na kuwa Mwenye mafanikio kwenye career yko"" kupitia diamond"" hakuna kingine chochote cha maana unachoweza kujifunza toka kwa hao watu "" haswaa kwenye upande wa life skills ""......
 
Ww ukizaa na mtu ili hali unajua ana familia yake itakuwa sawa?
Tusiongozwe na uteam ama ushabiki
Najua kabisaaa huyu ni mpenzi/mchumba ama mzazi mwenzie na Mama Sabrina naenda nazaa nae akili matope
Karma is bitch
Misa alikuwa na dai before,na kumbuka dai hajaoa mpaka leo na kazaa nao wote na daimond dini inaruhuru kuoa wote wawili au watatu,wapendeni wote tu

Kuhusu hiyo mbona kuna watu wanazaa kabisa na waume za watu hamuoni ajabu sembuse misa kuzaa na dai akiwa na hawara zari
Hakuna cha karma hapo
 
huyo " hamisa mwehu " hiyo familia ya domo na domo mwenyewe wehu "" zaidi ya kujifunza namna ya kuweza kutafuta maisha na kuwa Mwenye mafanikio kwenye career yko"" kupitia diamond"" hakuna kingine chochote cha maana unachoweza kujifunza toka kwa hao watu "" haswaa kwenye upande wa life skills ""......
Umesahau kumalizia ya zari
 
Back
Top Bottom