Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe jina nikachungulieMmmh kuna picha zake huko insta dah!!!!!!
Noma kama binti yake.ngoja na mm nijisogeze hapo niwe baba hamis morebetorBalaa
Kwa account inaitwa coffee_tableNipe jina nikachungulie
Imewarudisha ujanani,mnabanana nao,huku uswazi kwetu ndio balaaKwa account inaitwa coffee_table
Yani wamama wengine shida tupu, hawataki kukubali kwamba muda umeenda, instagram imewakuta taa nyekundu zishawaka basi ni shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna cha kuzidi pesa wala umaarufuMume wa mama yako ni Baba fullstop.
Ndugu yake na baba tifa soon, coz uzazi upo.Mkuu hawakusema mdogo wake Dimond anazaliwa lini?!
Mume wa mama yako ni Baba fullstop.
Kwa hiyo diamond inabidi ampe saluti huyo msela sababu anamfanya mamaake!! Huyu msela si atakua anatamba vijiweni huyu? Dah mambo mengine jamani hadi aibu!!
Wanaofanania wana Nembo gani mkuuHuyo mbona hafananii kuoa mamaza kama hao
Anajua namna ya kujitoa ufaham sanaAisee huyu mama dii sijui akili zake anazifichaga wapi huyu mwanamke
Shunie vip wewe hujapata wa limtulizaWamama wa instgram wamama wa mjiniii kugombania Ben10
Hahahaaa dunia bhana
Kwahiyo Mond anatoa shikamoo baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiombe yakukute aisee
Nyie ambao mama zenu wako hai ombeni Mungu waendelee kua na akili timamu vinginevyo aibu Kama hizi zitawakumba
kwa sasa naanza kumuelewa baba Diamond
Mi niliamua kulea watoto wangu tu,Na wewe ulishampataga wa kumdekeza au bado una danga ?
Diamond abadilishe jina, atumie LA baba ake wa sasaHakuna namna...Baba Dangote[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]