Mimi ni mwanamme naishi Arusha, napenda kuwasiliana na mama mwenye umri tajwa hapo juu. Sifa zake; awe ni mtu mwenye busara na anaye jilinda, awe ni mfanyabiashara na kipato cha kumtosheleza ili awe na amani. nimependekeza dada/mama kwa kuwa kuna mambo mengine ya relation atanishauri.
Aliyeko tayari naomba ani pm
Asanteni na poleni kwa kazi za mchana kutwa!!!