Mama Mshuza "Ma Mshuza" nipokeeni ndugu zanguni

Ma Mshuza

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2019
Posts
207
Reaction score
1,122
kwa muda mrefu nmekuwa nikifuatilia threads mbalimbali JF katoka majukwaa mbalmbali na leo nmeona nami nijiunge rasmi nisiwe tu nachungulia na kusoma pasipo uwezo wa kuchangia.

nashukuru kwa wale ambao watanipokea kwa nia njema tuweze kujamiana (to socialize) katika mambo mbali mbali ya kiuchumi na kisiasa.

mi ni mkazi wa dar nafanya kazi na biashara binafsi naamini ntajifunza mengi toka kwa wengi humu ndani.
 
Uko pande zipi nije unipe Balimi 2 fasta za moto?
 
Huyu baba Mshuza yuko wapi? Mi pia naishi Dar naitwa Baba Matesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…