Mama Mshuza "Ma Mshuza" nipokeeni ndugu zanguni

Mama Mshuza "Ma Mshuza" nipokeeni ndugu zanguni

kwa muda mrefu nmekuwa nikifuatilia threads mbalimbali JF katoka majukwaa mbalmbali na leo nmeona nami nijiunge rasmi nisiwe tu nachungulia na kusoma pasipo uwezo wa kuchangia.

nashukuru kwa wale ambao watanipokea kwa nia njema tuweze kujamiana (to socialize) katika mambo mbali mbali ya kiuchumi na kisiasa.

mi ni mkazi wa dar nafanya kazi na biashara binafsi naamini ntajifunza mengi toka kwa wengi humu ndani.
Wewe kibabu aisee...
 
Back
Top Bottom