Mama mtanzania , mtoto raia wa kigeni.

Mama mtanzania , mtoto raia wa kigeni.

Maria Nyamhanga

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
130
Reaction score
25
NaoMba kueleweshwa. Mtoto wangu nilisafiri nae kuja nyumbani Tanzania. Nilimchukulia visa ya miezi mitatu. Visa imekwisha nilitakiwa niondoke bahati mbaya akapata maradhi ya maralia. je naweza kuondoka bila tatizo visa ikiwa imimekwisha mwezi mmoja? Nisaidieni.
 
Dear Maria Nyamhanga,

Unachotakiwa kukifanya na natumaini uhamiaji (at the port of entry) walikushauri uende makao makuu kwa ajili ya mtoto kugongewa muhuri wa kumuonyesha ni dual national . kibali hicho umpa rusa mtoto mwenye passport kuishi Tanzania mpaka atakapofikisha miaka kumi na nane ndipo anaweza kuukana moja ya uraia wake.

Ushauri wangu ni kuwa nenda pale kurasini ukafanye huo mchakato na najua ujiandae pia kulipa faini ( kwa ridhaa ya afisa uhamiaji).

Natumaini majibu yangu yamekupa mwanga.

Wasalaam,

Shadow.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako. Shadow Nilipoingia nilidakwa pale air port na waomba rushwa wa uhamiaji. Na walitaka tuongee pembeni ili wanifanyie hiyo kitu unayosema hapo airport. Nikajua ni janja yao kama kawaida. Na sikujua kama tungekaa mpaka visa kwisha. Nitajitahidi kufanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom