Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Huyu ni mwanamke au mwanaume mbona sijamwelewa
 

Duh dogo anakupa stress sana...muda wote yupo kichwani kwako.
 

Huyo dada ana umri huo kweli au unazusha tu?
 
Hahaha kwani ndie ananilipia bills? By the way hata ww faiza anakupa stress. Pampers amevaa yeye kinakuuma wewe how come? Kweli majanga

Hajawai na hatowai kunipa stress ni baby wa kawaida sana kwangu yani ile sana...kazi unayo wewe kila kukicha huko na domo,ata zari anakushughulisha sababu ni domo.
 
Hata zari ni mama wa watoto 4 (anaficha mmoja mkubwa) na anafanya yasiyostahili ila mnampongeza. Muacheni faiza aishi maisha yake. Au kwa sababu ni mtz manake kitu afanye mgeni akifanya mzawa ni tatizo.

anamiaka mingapi..?
 
Ok, umejuaje Zari ana miaka 39?

Hahah star wa kike akikuambia ana 36 ongezea 3 - 5 hapo kwani huwa wanajipunguzia miaka. Kwanza mikono yake inasema mengi kuhusu umri. huyu dada ni mojawapo ya wale ant aging. Kwanza hapa hataki kuongozana na wanae south Africa coz wanamfanya aonekane mtu mzima while yeye anautaka utoto. Mzazi mwenzake ndo ameachiwa jukumu la kuwaintertain watoto kwa sasa. Usiniulize nimejuaje
 
holy cow!....this is next level....
 

Bado hujaeleza umejuaje Zari ana miaka 39!

Ngoja nikusaidie....ushawahi kuona cheti chake cha kuzaliwa au kitambulisho chake chochote kile kilicho rasmi kinachoonyesha kazaliwa lini?
 
afya ya akili serikali ikianzisha kampeni ya kupima itabidi mirembe ziwe kila mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…