Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini maisha ni kujichagulia uishi vipi. Msiwe na double standards. Gold platnumz akitembea na 39yrs tukisema tunaambiwa tunampangia maisha, faiza akivaa pampers kwa bday yake anaonekana ndivyo sivo. Basi na faiza ameamua kuishi atakavyo km ilivyo goldplatnumz
Hahahaaa Jesus take the wheel!
What kinda get-up is that now?
Faiza nae huwa ni kimeeeeeo!
Duh dogo anakupa stress sana...muda wote yupo kichwani kwako.
Lakini maisha ni kujichagulia uishi vipi. Msiwe na double standards. Gold platnumz akitembea na 39yrs tukisema tunaambiwa tunampangia maisha, faiza akivaa pampers kwa bday yake anaonekana ndivyo sivo. Basi na faiza ameamua kuishi atakavyo km ilivyo goldplatnumz
Huyo dada ana umri huo kweli au unazusha tu?
Hahaha kwani ndie ananilipia bills? By the way hata ww faiza anakupa stress. Pampers amevaa yeye kinakuuma wewe how come? Kweli majanga
Nyani huwa sizushi. Hata kama ni gossip me huwa nakuja na facts tu. Km sina huwa nakuwa kimya.
Hata zari ni mama wa watoto 4 (anaficha mmoja mkubwa) na anafanya yasiyostahili ila mnampongeza. Muacheni faiza aishi maisha yake. Au kwa sababu ni mtz manake kitu afanye mgeni akifanya mzawa ni tatizo.
Ok, umejuaje Zari ana miaka 39?
anamiaka mingapi..?
Hahah star wa kike akikuambia ana 36 ongezea 3 - 5 hapo kwani huwa wanajipunguzia miaka. Kwanza mikono yake inasema mengi kuhusu umri. huyu dada ni mojawapo ya wale ant aging. Kwanza hapa hataki kuongozana na wanae south Africa coz wanamfanya aonekane mtu mzima while yeye anautaka utoto. Mzazi mwenzake ndo ameachiwa jukumu la kuwaintertain watoto kwa sasa. Usiniulize nimejuaje