Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Mzazi mwenzake na mbunge wa mbeya mjini bwana joseph mbilinyi aamua kuvaa pampers kwenye kusherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana. Watu mbalimbali akiwemo lemutuz walihudhuria.
 

Attachments

  • 1418911637034.jpg
    1418911637034.jpg
    61.4 KB · Views: 8,053
Mhu!!hata Lady Gaga asingefanya icho kituko!!uwiii@atoto.
 
Mmmh, huyu ni mke wa ndoa au ni chepuko2? Tuweke pembeni mambo ya siasa, hii ni too much aisee
 
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU
 
Kama mke ana akili hizi, ukichanganya na akili za sugu, Huyo mtoto sijui atakuwaje...
 
Lakini maisha ni kujichagulia uishi vipi. Msiwe na double standards. Gold platnumz akitembea na 39yrs tukisema tunaambiwa tunampangia maisha, faiza akivaa pampers kwa bday yake anaonekana ndivyo sivo. Basi na faiza ameamua kuishi atakavyo km ilivyo goldplatnumz
 
Kama Zitto alivyo bugi kwa Diva malinzi,ndo sugu alivyochemka hapo.
 
Huu uzungu tunauchukulia vibaya jamani Khaaa! Nini hii?
 
Makubwa hii Kali aise sijawahi kuwaza binadamu kuweza kufanya kituko cha namna hii.Huyu ni mama kweli anayelea mtoto?
 
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU

Its unfair kwanini usifungue uzi mwingine kama una issue na Sugu? Hii si jukwaa la Siasa mambo ya uchaguzi yanafuata nini huku jamani kutuletea stress zisizokuwa na kichwa wala miguu? Grow Mama Isidingo!
 
Makubwa hii Kali aise sijawahi kuwaza binadamu kuweza kufanya kituko cha namna hii.Huyu ni mama kweli anayelea mtoto?

Hata zari ni mama wa watoto 4 (anaficha mmoja mkubwa) na anafanya yasiyostahili ila mnampongeza. Muacheni faiza aishi maisha yake. Au kwa sababu ni mtz manake kitu afanye mgeni akifanya mzawa ni tatizo.
 
Back
Top Bottom