EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.
Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta mdada MMOJA hivi white ana mwili Ila si WA ubonge maana NI mwepesi.
Anaonekana ana pesa maana anasukuma Prado mara nyingi huwa namuona bank za crdb na nmb nilishachunguza ANAFANYA KAZI gani bila mafanikio.
SASA siku zingine huwa naenda na MKE Wangu Naye akamjua. SASA siku moja kanichangamkia sana mara akanambia mwambie WiFi awe anakuja hapa dukani mida ya jioni tuwe tunapiga story na Mimi huwa nasafiri Sana kikazi kama vipi kama unaniruhusu niwe naenda Naye.
Nikamwambia Sawa usijari SASA kila akiniona ananikumbusha na kanizoea Sana.
Wakuu kilichonileta hapa mi nimeanza kumtamani nataka nianze kumpiga na dushe.
PIlI Je Kwanini aliniomba MKE Wangu awe anaenda dukani kwake ukizingatia hawana mazoea na MKE Wangu je lengo lake NI lipi au ni mbinu ya kunisogeza Mimi mdogo mdogo? π€π€π€π€