Mama mwenye duka

Mama mwenye duka

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.

Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta mdada MMOJA hivi white ana mwili Ila si WA ubonge maana NI mwepesi.

Anaonekana ana pesa maana anasukuma Prado mara nyingi huwa namuona bank za crdb na nmb nilishachunguza ANAFANYA KAZI gani bila mafanikio.
SASA siku zingine huwa naenda na MKE Wangu Naye akamjua. SASA siku moja kanichangamkia sana mara akanambia mwambie WiFi awe anakuja hapa dukani mida ya jioni tuwe tunapiga story na Mimi huwa nasafiri Sana kikazi kama vipi kama unaniruhusu niwe naenda Naye.

Nikamwambia Sawa usijari SASA kila akiniona ananikumbusha na kanizoea Sana.
Wakuu kilichonileta hapa mi nimeanza kumtamani nataka nianze kumpiga na dushe.

PIlI Je Kwanini aliniomba MKE Wangu awe anaenda dukani kwake ukizingatia hawana mazoea na MKE Wangu je lengo lake NI lipi au ni mbinu ya kunisogeza Mimi mdogo mdogo? 🤔🤔🤔🤔
 
Amesha mtafutia soko mke wako au kuna jamaa kampenda mke wako na huyo unaye mtamani ndio kiunganisho chake. Jiroge umruhusu mke wako akashinde dukani kwake...
 
Mkuu kwanza nikuombe ubadilishe hiyo avatar yako maana inachefua kishenzi.
Pili kama kweli unataka kumkula huyo mmama usithubutu mkeo kuweka mazoea nae.
Tatu huyo mama inawezekana mishe zinazomuweka mjini ni ukuwadi kua makini sana.
 
😝😝 nilkua cjaiona
 
SASA siku moja kanichangamkia sana mara akanambia mwambie WiFi awe anakuja hapa dukani mida ya jioni tuwe tunapiga story na Mimi huwa nasafiri Sana kikazi kama vipi kama unaniruhusu niwe naenda Naye.

Kwa nini akuambie wewe maneno haya na asimwambie mkeo?

Siku utayoenda mweleza hivi mkeo, taa ya kijani itawaka kichwani mwake...
 
Mkuu kwanza nikuombe ubadilishe hiyo avatar yako maana inachefua kishenzi.
Pili kama kweli unataka kumkula huyo mmama usithubutu mkeo kuweka mazoea nae.
Tatu huyo mama inawezekana mishe zinazomuweka mjini ni ukuwadi kua makini sana.
Akawa anamuunganisha na madon wanamkula mkewe Kisha yeye anapata kamishen.

Hii michezo nmeikuta mikocheni mwaka juzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.
Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta mdada MMOJA hivi white ana mwili Ila si WA ubonge maana NI mwepesi.
Anaonekana ana pesa maana anasukuma Prado mara nyingi huwa namuona bank za crdb na nmb nilishachunguza ANAFANYA KAZI gani bila mafanikio.
SASA siku zingine huwa naenda na MKE Wangu Naye akamjua. SASA siku moja kanichangamkia sana mara akanambia mwambie WiFi awe anakuja hapa dukani mida ya jioni tuwe tunapiga story na Mimi huwa nasafiri Sana kikazi kama vipi kama unaniruhusu niwe naenda Naye.
Nikamwambia Sawa usijari SASA kila akiniona ananikumbusha na kanizoea Sana.
Wakuu kilichonileta hapa mi nimeanza kumtamani nataka nianze kumpiga na dushe.
PIlI Je Kwanini aliniomba MKE Wangu awe anaenda dukani kwake ukizingatia hawana mazoea na MKE Wangu je lengo lake NI lipi au ni mbinu ya kunisogeza Mimi mdogo mdogo? 🤔🤔🤔🤔
First umewaza na kichwa cha chini tatzo...

anataka amfundishe michongo ya mjini na jinsi ya kupiga hela ili asiwe tegemezi na aweze kukomboa familia yake, ameshaona kipato chako hakikidhi mahitaji ko acha kumbwela mpeleke wife achangamane ili asiishie kwa majirani makapuku wenye kuongea umbea muda wote...
 
Back
Top Bottom