J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Mar 4, 2021 #1 Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:- Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia Sanitizer haswa kabla ya kumgusa mtoto Kuvaa barakoa ya kitabibu wakati wowote anapomshika mtoto, pamoja na wakati wa kunyonyesha Kuziba mdomo na pua kwa kutumia sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono wakati wa kukohoa au kupiga chafya Mara kwa mara kusafi sehemu ambazo mama amegusa Upvote 0
Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake isipokuwa atazingatia yafuatayo:- Kuosha mikono mara kwa mara na sabuni na maji tiririka au kwa kutumia Sanitizer haswa kabla ya kumgusa mtoto Kuvaa barakoa ya kitabibu wakati wowote anapomshika mtoto, pamoja na wakati wa kunyonyesha Kuziba mdomo na pua kwa kutumia sehemu ya ndani ya kiwiko cha mkono wakati wa kukohoa au kupiga chafya Mara kwa mara kusafi sehemu ambazo mama amegusa