Mama mwenye nyumba ana sifa ya umalaya, ulozi na wizi

Okoka, mwamini Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako, hutasumbuliwa na wachawi tena. huu ni ukweli, chukua hatua.
 
Ningemshauri amtafune mama mwenye nyumba itakua ndio nafuu yake
 
Wapangaji ni wakorofi sana wanataka umeme na maji bure ili waweke music mkubwa na mashine za kufulia
Nashauri huyo mama muachieni nyumba yake afugie kuku muone km atakufa
Mimi kuna mshenzi aligoma kutoka eti anataka mwezi mmoja wa bure au mitatu kabisa, la sivyo atanichoma mbona umeme simdai na kamaliza miezi 12, kumbe wenzake wa maduka wanamlipia yeye ni kudunda mipasho masaa 24
 
Kuna mmoja alidai kama tunataka ahame tumpe miezi mitatu alihama kwa fujo
 
Kuna mmoja alidai kama tunataka ahame tumpe miezi mitatu alihama kwa fujo
na mara nyini wakihama wanajuta, wanatoa siri zote hata za uongo, mm niliitiwa Tanesco, kuwahoji wakadai kuna mpangaji alipanga hapa, kumbe alikoenda bill ni kabla hujatumia unatanguliza 15,000 ya maji na umeme kila mwezi na bado Kodi ni miezi mitatu, wapangaji wanataka fujo na waharibifu km sio ukuta vitasa hata mlango, usafi kuzunguka nyumba hawataki kabisa.
 
Pole bro kwema lakini umeadimika sana kwenye group watsap
 
Nyumba za kupanga zinakero nying na haziishi labda sijajua wanaokaa nyumba za NHC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…