''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

ha ha ha mchina anafanya kazi kweli
 
Helo Wiselady, habari yako LOVE?? Umeonana na mtu mmoja anaitwa Asprin?
 
sasa hapo inategemea na mtu na mtu.yawezekana baba mwenye nyumba naye akawa mfupi na mweusi kama mpango wa nje haitokuwa na neno.siku zote huwez tafuta mpango wa nje usiokupa raha au kukuvutia.kwa mie siwez tafuta mpango wa nje mweupe
!.........never trust a man even a dead one........!
 
MY ukiwa na mpango wa nje huwa inakuwaje?
ananipa ninachotaka nami nampa anachokitaka.ila sitopunguza kwa baba mwenye nyumba labda mwenyewe awe mchovu.lakini malavidavi,huduma kwa familia na mengine kwa mwenye mali ni haki ambayo siwez ipunguza wala kuondoa.huku kwingine pumziko tu wakati wa stress
 
mmmm!! mpango wa nje anaenjoy japo anaishi kwa wasiwasi
 
Helo Wiselady, habari yako LOVE?? Umeonana na mtu mmoja anaitwa Asprin?
mwenyekiti hebu maliza ''utata'' huu....!

''MPANGO WA NJE'' vs ''MAMA MWENYE NYUMBA''
 
@hapo anayefaidi ni wewe unatunza zote mbili... moja ya home affair, na hiyo nyingine ya sports and entertainment
 
!.........never trust a man even a dead one........!

HUYU ATAKUWA SIO MWEUPE
 
@hapo anayefaidi ni wewe unatunza zote mbili... moja ya home affair, na hiyo nyingine ya sports and entertainment
HA HA HA HA!
haya bana!hii SPORTS and ENTERTAINMENTS naona kama imepigiwa chapuo sana
 
Tatizo ni kwamba huko nje mnakoenda kupunguza stress mnajiachia kwelikweli,maufundi yote ya kumwaga kuliko hata kwa father house wako orijino!!!!!!
 
kwahiyo "mpango wa nje" ni kwa ajili ya kutoa stress
 
Tatizo ni kwamba huko nje mnakoenda kupunguza stress mnajiachia kwelikweli,maufundi yote ya kumwaga kuliko hata kwa father house wako orijino!!!!!!
wanakuwa kama wanakomoa vile......!
 
walio wengi wanajua bana......!
enewei hata hivyo kimey haiwezekan kwamba ikawa ''NGOMA DROO''

Tatizo si kujua bali wanajua kiasi ie. wana taarifa kiasi gani kuhusu tabia za waume zao wakware!

Hivi mama mwenye nyumba wako naye akigeuzwa mpango wa nje na mtu mwingine doh!!!! Sijui inakuwaje hapo

Hapo ndo shida kwani wanaume hutamani kufa wakifikiria hiyo kitu. Wanasahau kuwa mwosha huoshwa na...kula ili uliwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…