GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
(Safi kabisa...inaonekana krismas itakuwa tamu sana aisee hakikisha unarudi kabla mambo hayajaharibikia....)
(Hivi mkuu kwanini watu wanaoana)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(Safi kabisa...inaonekana krismas itakuwa tamu sana aisee hakikisha unarudi kabla mambo hayajaharibikia....)
@hapo anayefaidi ni wewe unatunza zote mbili... moja ya home affair, na hiyo nyingine ya sports and entertainment
lakini mkuu,
mi naona huwa inapendeza sana ''mpango wa nje'' wa kike akiwa HANA NDOA
Bacha hayo maufundi kwanini usimfanyie mkeo/mumeo????????????????
Hivi unafikiri hawajui...? They are just not telling u what they know coz they are wise enough to know that they don't want their families to fall apart, but they know and they live in such horrible circumstances!! How difficult it is to being a woman...and more difficult when u are married!
(hivi mkuu kwanini watu wanaoana)?
HAYA BWANA!Nimeipenda hiyo avatar yako inanitamanisha yani acha tu... natamani kupaa now:focus:
it depends na wapi baba mwenye nyumba anaspend muda wake mwingi... huko anapospend muda mwingi huko basi ujue anafaidi sana huyo anayepewa muda kibao mengine mi huwa hayajalishi sana.. time spent kwangu ndio constant factor
(Patakuwa hapatoshi, katibu naye amethibitisha uwepo, na the King lazima tumpeleke akamnyweshe binti mbege):teeth::teeth::teeth:(Safi kabisa...inaonekana krismas itakuwa tamu sana aisee hakikisha unarudi kabla mambo hayajaharibikia....)
Niko hapa hommie. Ulikuwa unasema...?....Hakikisha hapa, ili ujue nimekutukuza kwa kujali maslahi yangu.
The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:
So bora kuwa Infii au????
Manake Relaxation is there kadiri ya uwezo utakaokuepo, having fun.........
hii point sana tuu, nimegonga senks
lakini mkuu,
mi naona huwa inapendeza sana ''mpango wa nje'' wa kike akiwa HANA NDOA
so bora kuwa infii au????
manake relaxation is there kadiri ya uwezo utakaokuepo, having fun.........
kiuhalisia mpango wa nje ndo unabenefit hapo kuliko mwenye nyumba,,,na mbaya zaidi mwanaume mwingine anapokuwa akifanya infii anaeleza weakness za mke wake though smtyms ni za uongo,,,so mpango wa nje unajaribu kucheza na gaps ili kuweza kizifill,,,ila ikatokea mambo yakabadilika mpango wa nje ukawa mwenye nyumba,,mlango mwingine unafunguliwa fasta!since there is no miss/mr perfect kwa hiyo unakuta infii kwa walio wengi haiwezi kukoma in actual fact!inaumiza sana
Mods sijui wanataka action kama ile ya CHADEMA ya kususia Hotuba?:whoo:hapa imebaki story tu lini tunaandamana kudai chatroom irudishwe?
na atabaki bila ndoa hadi lini?