Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
- Thread starter
- #161
hapa mama najua WENGI WATAKUPINGA.....!lakin huo ndio ukweliLakini kila chenye faida kina hasara pia!!! But kama faida ni kubwa kuliko hasara, tunachagua.
So kama infii anapata furaha, amani, upendo nakadhalika zote kuliko mama mwenye nyumba,
Tunaweza kusema bora kuchagua Hiyo (MY INFII)