Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
- Thread starter
- #181
ha ha ha ha!hapa sasa unataka kuleta hoja mpya ambayo tutaanza kuhamishana meza
mkuu jaribu kumuuliza mtu mmoja mmoja......!
singo lady anaetembea na mume wa mtu AU married lady anaetembea na SINGO-PLAYBOY which is the lesser evil?
