Mama Mwenye Nyumba ya Ofisi ya CHADEMA Hai Atangaza Kusitisha Mkataba, Adai Kutukanwa

Mama Mwenye Nyumba ya Ofisi ya CHADEMA Hai Atangaza Kusitisha Mkataba, Adai Kutukanwa

ni muhimu sana huyo mama akaichukua nyumba yake mapema na kuirejesha kwenye umiliki na matumizi ya familia yake kabla ya hao matapeli hawajamgeu na kumdhulumu mchana kweupe.

aepuke majuto hayo mapema kabisa :NoGodNo:
I suspect we jamaa unaviashiria vya ushoga na pia ni mjinga. Arguments zako zinafikirisha mambo mengi sana. Ama pia utakuwa mgonjwa maana ushabiki wako sio tena ushabiki ni zaidi ya ushabiki. Ushabiki ukikufanya you can't reason rationally kama a normal human being maana yake thinking yako imeshaharibiwa na ushabiki.
 
Akiongea kwa Uchungu mkubwa Juliana Michael Mbaga, Mama aliyedai kuwa ndiye mwenye nyumba waliyopanga CHADEMA na kuigeuza kuwa ofisi ya chama hicho Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro, ametangaza kusitisha mkataba na kubadilisha matumizi ya nyumba hiyo kwa madai ya kukerwa na maneno ya matusi kutoka kwa wanachama na viongozi wa chama hicho akihofia uvunjifu wa amani katika eneo lake.

"Kuna siku moja zilikuja pikipiki nyingi hapa kwa kishindo, makelele na matusi, sasa nilishindwa kuwatuliza kwamba hapa nina familia na hawahitaji kelele- niliamua kuchukua uamuzi wa kuhisi kwamba hili litakuwa shida kwangu na kwa wapangaji wangu ambao wanapenda utulivu na usalama hapa. Nikampigia simu Katibu wa Chadema ambaye nimesaini nae mkataba na kumueleza dhumuni la kusitisha mkataba na uzuri mkataba wetu haunizuiii kuichukua nyumba yangu muda wowote na nipo tayari kurejesha fedha zao walizokuwa wamenilipa." Amesema Mama huyo.

Troll JF na timu yangu tunaendelea kuutafuta Uongozi wa Chadema Hai ili kujibu tuhuma hizo na kufahamu kuhusu hatua walizozichukua baada ya uamuzi huo wa Bi. Mbaga.
View attachment 3694499
 
I suspect we jamaa unaviashiria vya ushoga na pia ni mjinga. Arguments zako zinafikirisha mambo mengi sana. Ama pia utakuwa mgonjwa maana ushabiki wako sio tena ushabiki ni zaidi ya ushabiki. Ushabiki ukikufanya you can't reason rationally kama a normal human being maana yake thinking yako imeshaharibiwa na ushabiki.
Nimetoa ushauri wangu mujarabu sana kwa hiyo mwenye nyumba dhidi ya matapeli ya chadema.
Nadhani nimetekeleza wajibu wangu kama mshauri wa wananchi katika siasa,

na kwahiyo,
sina haja ya kubabaika na mihemko au matusi nonsense ya mdau yeyote useless wa Jf 🐒
 
Back
Top Bottom