Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Dah haya bwana mzee wa Chato hii laana haitakuacha salama. Pia hata wale wengine uliowafanyia uliyofanya pia subiri laana kuu! Sijawahi kuona kiongozi wa aina yako niseme kweli kabisa!Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Mtu wa karibu na familia amethibitisha
View attachment 1308015