TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Hili MUNGU analiona, litakuwa hili nalo linalaaana hili au halijui lisemalo hili haya majitu yasiokuwa na familia yasiokuwa na utu yenye ushetani mnayaruhusu vipi kuingia kuchangia Mada Kama hiii iliyoumiza watu mioyo yao? Hivi majitu Kama haya yalizaliwa na nyani au yalizaliwa na binadam? Ukilichunguza jitu Kama hili utakuta Aidha kizazi chake kilikuwa cha ushetani Mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!

Amen!
 
Inasikitisha sana.

Shetani anapotamalaki juu ya nchi, haki hupotea, majuto na huzuni huenea, uonevu huwa furaha ya watawala, ibilisi hufurahia uwezo wa kutwaa uhuru wa watu, machozi ya wenye haki hudondokea mavumbini, Bwana wa mbingu huruhusu ubaya udhihirike ili shetani apate kuonekana kwa uwazi. Mioyo ya wenye hekima hutiwa upofu na woga. Ibilisi hujisifia kwa mateso ya wana wa Mungu.

Naam, lakini nyakati zaja, ibilisi atakapokanyagwa na nguvu ya Mungu. Ndipo watu wote, walio wa Mungu na mawakala wa shetani, watauchukia uovu na yule bwana wa uovu, yaani shetani. Watazilaani nafsi zao maana hawakutenda lolote lililowapasa kutenda kwaajili ya utukufu wa Mungu wa kweli. Waliwaabudu wanadamu, na walijisogeza kwa ibilisi ili wajipatie mvinyo wenye ladha nzuri bila ya kujali kama mvinyo ule ulikuwa na matone ya damu na machozi ya waliodhulumiwa haki.

Pole sana wafiwa, pole sana Kabendera. Kabendera na wafiwa wote, mkumbuke kuwa katika maisha yetu wanadamu, kila litokealo, limeandikwa katika akaunti zetu za safari yetu ya maisha. Shukuruni katika kila jambo maana Mungu wetu hakuwahi kupungukiwa hekima wala ukuu wake, wala maombi ya wenye haki hayakuwahi kulikosa sikio la Mungu.
 
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019.

Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip

View attachment 1308015

Soma pia: Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae
Laaaana zinazidi kuongezeka Kwa utawala huuu, utatumika bundukiiiiiiiiii Lakini kwenye laaana Hakuna cha bunduki wala jeshi, wala polisi, laanaa hujibiwa Wakati maaalumu hata ikichukua muda laaana itakuja tu kutokea Siku moja, huyu mama amepelekea mioyo ya watanzania weeeengi isononeke Kwa huruma na mioyo yao wengi kisinyaaa kinachofanyika Kwa sasa ktika nchi hiii hata mioyo ya watumishi wa MUNGU inaenda kusinyaaa
Hakika unachoweza kuzuia na kuishi Kwa miaaka yote ni kudhurika Kwa mipango ya binadam Lakini hukumu toka Kwa MUNGU huja hata ukiwa RPC hukukuta na inaweza kukukuta ukahukumiwa na hata vijana wakawaida tu wenye magofole Kama wale waliomuhukumu Yule RPC repatusi aliekuwa RPC Mwanza tuliambiwa kuwa waliemwadibu walimkuta tu barabarani akawa anawaaambia eti hamnijui Mimi ni RPC, wale vijana Kwa mujibu wa polis walikuwa na gobore na ni vijana tu wa kitaaani kila mtu mtenda maovu MUNGU atamuhukumu Kwa njia ambayo nyingne ni ya kawaida Kabisa Siku hatuijui aijuaye ni Moro muuumbaji wet, MUNGU atajibu imeniuma Sana hiii Kwa huyu bibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana.

Shetani anapotamalaki juu ya nchi, haki hupotea, majuto na huzuni huenea, uonevu huwa furaha ya watawala, ibilisi hufurahia uwezo wa kutwaa uhuru wa watu, machozi ya wenye haki hudondokea mavumbini, Bwana wa mbingu huruhusu ubaya udhihirike ili shetani apate kuonekana kwa uwazi. Mioyo ya wenye hekima hutiwa upofu na woga. Ibilisi hujisifia kwa mateso ya wana wa Mungu.

Naam, lakini nyakati zaja, ibilisi atakapokanyagwa na nguvu ya Mungu. Ndipo watu wote, walio wa Mungu na mawakala wa shetani, watauchukia uovu na yule bwana wa uovu, yaani shetani. Watazilaani nafsi zao maana hawakutenda lolote lililowapasa kutenda kwaajili ya utukufu wa Mungu wa kweli. Waliwaabudu wanadamu, na walijisogeza kwa ibilisi ili wajipatie mvinyo wenye ladha nzuri bila ya kujali kama mvinyo ule ulikuwa na matone ya damu na machozi ya waliodhulumiwa haki.

Pole sana wafiwa, pole sana Kabendera. Kabendera na wafiwa wote, mkumbuke kuwa katika maisha yetu wanadamu, kila litokealo, limeandikwa katika akaunti zetu za safari yetu ya maisha. Shukuruni katika kila jambo maana Mungu wetu hakuwahi kupungukiwa hekima wala ukuu wake, wala maombi ya wenye haki hayakuwahi kulikosa sikio la Mungu.
Amiiiiina....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Hata we we hapo unaweza bambikiwa kesi ya uhujumu uchumi na kusota rumande huku kila leo wakisema ushaidi haujakamilika
 
Back
Top Bottom