Je na wewe mama yake alikuonyesha na kweli ulishuhudia?
Nenda upate HUDUMA ya maombezi Kwa nabii mkuu (Ngurumo na upako).Mimi acha nitafute helaaa ... Sheria ya majobless katika Katiba yetu inasema;
Sheria namba sita ibara ya nane;
Kila mwanachama wa Majobless ni lazima kulimbuka jambo hili, kutojisimbua na mambo yasiyokuhusu, hivyo yasiyo kuhusu yasikusumbue
Hapana mkuu! Kwenye chama Cha Majobless huduma zipo ya Nini niwasumbue manabiiNenda upate HUDUMA ya maombezi Kwa nabii mkuu (Ngurumo na upako).
Eeh Mungu tupe rehema zako maana hizi nyakati ni hatari sana kwetu.
Ni wachache wana hizo bahati bibi yangu mdogo nae yuko na 60+ ana baba na mamaSema huyo jamaa Kwa umri wake hakosi miaka 60+ na bado yupo na Mama mzazi is blessings
Kweli ni kushukuru SanaNi wachache wana hizo bahati bibi yangu mdogo nae yuko na 60+ ana baba na mama