Mama mzazi Wa Nabii Geordavie: Mwanangu sio mtu wa kawaida Aliwaona MUNGU Na Yesu Angani

Mama mzazi Wa Nabii Geordavie: Mwanangu sio mtu wa kawaida Aliwaona MUNGU Na Yesu Angani

Msumb

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
3,452
Reaction score
5,372
Mama mzazi wa nabii mkuu Geordavie akitoa ushuuda kanisani kwa mwanae alisema;

"Mwanangu sio mtu wa kawaida, nakumbuka kipindi akiwa mtoto aliwai kupiga kelele huku macho yake akiwa ameelekeza juu mawinguni na alikua akilalamika, Oneni jamani Mungu yuleee Mungu yulee yuko na mtoto wake, wamevaa mavazi meupe, oneni meza yao, ooh wanafunga mlango, na kisha akakaa kimia, huku mimi na majerani tukiwa tumemzunguuka tulijaribu kuangalia juu kipindi akipiga izo kelele ila atukuona kitu."

1738578217084.png
 
Mimi acha nitafute helaaa ... Sheria ya majobless katika Katiba yetu inasema;

Sheria namba sita ibara ya nane;

Kila mwanachama wa Majobless ni lazima kulimbuka jambo hili, kutojisimbua na mambo yasiyokuhusu, hivyo yasiyo kuhusu yasikusumbue
 
Non sense.
Hivi anawaona watu wengine hawana akili sawa sawa
 
Sema huyo jamaa Kwa umri wake hakosi miaka 60+ na bado yupo na Mama mzazi is blessings
 
Mimi acha nitafute helaaa ... Sheria ya majobless katika Katiba yetu inasema;

Sheria namba sita ibara ya nane;

Kila mwanachama wa Majobless ni lazima kulimbuka jambo hili, kutojisimbua na mambo yasiyokuhusu, hivyo yasiyo kuhusu yasikusumbue
Nenda upate HUDUMA ya maombezi Kwa nabii mkuu (Ngurumo na upako).
 
Ni wachache wana hizo bahati bibi yangu mdogo nae yuko na 60+ ana baba na mama
Kweli ni kushukuru Sana

Mimi Mama ana 57 na yupo na mama yake mama yake analingana na rais wa nne wa nchi yetu umri.

Huwa namwabia Sana this is blessings lakini hatambui hilo anamchukulia mama yake for granted .
 
Hapo ndipo Huwa nachoshwa na hii dini, mnasema yesu ni mungu, sasa inakuwaje tena awepo Mungu mwingine akiwa amempakata mungu yesu?
 
Back
Top Bottom