Mama mzazi wa Nay wa mitego anahisi mwanae ni Freemason

Mama mzazi wa Nay wa mitego anahisi mwanae ni Freemason

Jamani mama kaona mbali nyimbo hazieleweki shoo kubwa Mara chache kumsikia hizo hela anatoa wapi
Nimsaidie mama hii Freemason ya sembe may be maana ndio inawadau wengi kutoka tasnia iyo ya mwanao
 
Freenason wana deal na watu maarufu tu au wenye influence kubwa kwenye jamiii... sasa ney sio maarufu.. na tuelewane kuna umaarufu na kujulikana.
 
Bado nashindwa kuelewa, inamaana ukiwa freemason ndio unapata hela nyingi? Nani anakupa hizo hela? Bongo bana!
 
Ney si freemason ila anafata order za freemason yeye mwenyewe ameshawahi kusema kuwa kuna documentary anaiandaa inayo husu yeye,dimond na mzee yusufu kuhusu freemason
 
ney ni punda mbeba unga anayetaka kujificha kwenye u-freemason
 
Wakati mwingine huyu jama anajfanyanga kama mweu hivi...atakuwa sio freemason wala nini ila kwa bongo ukionekana wewe freemason eti ndio mjanja...stupid...hata ukiangalia shooting yake moja hivi inakama midamu damu ...alafu giza..alama za mule ndani...atakuwa ameamua kujitoa ufahamu 1423555542585.jpg1423555564085.jpg
 
Kwa uhalisia au kwa unavyofahamu wewe mkuu? Kamuulize Chande vzr.
huwezi kua freemason kirahisi rahisi na sio kila mtu anaweza kua fremason,huyo nay hana uwezo wa kua freemason,hapa tanzania freemadon wapo 15 tu.
 
Wakati mwingine huyu jama anajfanyanga kama mweu hivi...atakuwa sio freemason wala nini ila kwa bongo ukionekana wewe freemason eti ndio mjanja...stupid...hata ukiangalia shooting yake moja hivi inakama midamu damu ...alafu giza..alama za mule ndani...atakuwa ameamua kujitoa ufahamuView attachment 225733View attachment 225734

Ushamba mzigo...huyu jamaa huwa sijui namwonaje yaani naona kama anaforce kukubalika.
 
ile video ya mr ney ndo kajfanya kchaa! sema huwa ana ideaz za kigumu xana maana kuna nyimbo anaxema hawapend wazaz wake,anatukana,anamlaan baba ke mara akifa mait yake itupwe baharn nk! yaan duh shida!
 
Back
Top Bottom