komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ndio manake nikakwambia uwache kujifanywa mjuaji...Hivi kwanini wewe ni mjinga kiasi hicho?, mishahara yote ya wafanyakazi wa Kenya inatokana na kodi zinazokusanywa na KRA, hizo counties zinapewa pesa toka Hazina kuu ya Taifa, sasa kama hazina haina pesa za kutosha kupeleka ktk counties kama ilivyo huko Kenya, waalimu na manesi watalipwaje?, hakuna County hata moja huko Kenya yenye kulipa mishahara watumishi wake kwa pesa zao zitokanazo na mapato ya ndani, hujui lolote kuhusu nchi yako inavyoendeshwa, hovyo kabisa wewe, sikiliza huu mjadala wa watu wenye akili, anzia 28:30
Jukumu la kulipa manesi ni la serikali za county...
Mbna huaga waumia kihivo, hta km pesa zinatoka lkn km gavana wenu ni mpiga madili, basi mtaendelea kulia lia...
Usiforce vitu usivyovijua bana...manesi wengi wanapo uliza mishara huaga hawaitaji serikali kuu...
Utawaskia wakiuliza "vipi county haijatuwekea hela"
Then unafikiria counties huaga hazina revenues...
KENYA HUIJUI..NA UTAUMIA SANA KW KUJIFANYA UNAIJUA KENYA KUMBE HUJUI LOLOTE[emoji23][emoji23]