mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Feb 4, 2023 Thread starter #21 Sakasaka Mao said: Sura nzuri, roho mbaya! Sijui kwanini shetwani anapenda kujificha nyuma ya wanawake wenye mishepu! Click to expand... Shetani hana analoweza kulifanya kuwa jema kazi yake kuharibu vilivyo vizuri
Sakasaka Mao said: Sura nzuri, roho mbaya! Sijui kwanini shetwani anapenda kujificha nyuma ya wanawake wenye mishepu! Click to expand... Shetani hana analoweza kulifanya kuwa jema kazi yake kuharibu vilivyo vizuri
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 4, 2023 #22 Inasikitisha sana...