mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

mmh! imani za kishirikina zitamaliza watu lol!
Ewe Mola tuepushe na laana hizi
 
Madhara ya kitu "t", na vijana wa .com haya.
Naona dingi alikua hajui.
 
aliwahukumu upesi mno
angewatembezea kichapo kwanza alafu wale kwata kijiji kizima.
 
Wewe unafunga ndoa na mama yako lini....!? maana yaonekana wewe unaona poa tu au wewe huna upendo na mama yako mzazi...
He we mbona unanishambulia mimi nimesoma katika magazeti,kwa hiyo ningefumba macho nisisome?na picha wamebandika kwani nimefanya makosa kuwahabarisha? mpaka uniambie kuwa eti sina upendo na mama yangu mzazi, kwanza hao waliofumwa ni watoto wa vilabuni wana upendo sana na mama zao hadi kufikia hatua ya kumhurumia mama yake mzazi na kumridhisha kile kitu anachopenda.
 
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.

Je ni mtoto wa kuzaa au huyo kijana ni mkubwa then huyo mama alikuwa nyumba ndogo ya mdingi????
 
Back
Top Bottom