Wewe tu ndio haikuingii akilini....majority ya watanzania imewaingia akilini na mioyoni ndio maana imekuwa ikitawala siku zote!!
He we mbona unanishambulia mimi nimesoma katika magazeti,kwa hiyo ningefumba macho nisisome?na picha wamebandika kwani nimefanya makosa kuwahabarisha? mpaka uniambie kuwa eti sina upendo na mama yangu mzazi, kwanza hao waliofumwa ni watoto wa vilabuni wana upendo sana na mama zao hadi kufikia hatua ya kumhurumia mama yake mzazi na kumridhisha kile kitu anachopenda.Wewe unafunga ndoa na mama yako lini....!? maana yaonekana wewe unaona poa tu au wewe huna upendo na mama yako mzazi...
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.