Mama “Ndiyo” spika wetu ni tatizo!

Mama “Ndiyo” spika wetu ni tatizo!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Hakuna mtu anakataa kwamba spika wetu anajua sheria lakini hafanyi kazi nzuri kusaidia serikali. Mfano kwenye huu mkataba angetakiwa kushauri kubadilisha hii MOU kwenye sehemu hizi

1. MOU iwe ya bandari ya Dar na sio nchi
2. Zanzibar ihusike kwenye MOU
3. Mgao wa mapato uwekwe wazi
4. Anga yetu isihusishwe na MOU ya bandari
5. Kusiwe na zuio la kuongea na kampuni zingine kabla ya DP world kwenye bandari zingine
6. MOU iwe Tanzania na UAE sio Tanzania na Dubai!
7. MOU iwe na muda maalumu

Je kuna mtu mwenye akili zake anakataa haya🤔

Mdoli mwingine ni mwana sheria mkuu mbona hata kwenye forums iliyowekwa ya wafanyabiashara wakina zitto, lemma na Rostam mbona hajatokea! Je msimamo wake wa MOU ni upi?
 
Achana na speaker, kuna chiefs of contract negotiation Ndugu Lord denning na covax wanakuja kutolea ufafanuzi juu ya hili!!!
 
Back
Top Bottom