Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Kijana: halloo mama[emoji22]
Mama: john mwanangu[emoji2]..hujambo baba?
Kijana: mama siko sawa..miezi michache ilopita nligundua nimeambukizwa ukimwi,nsamehe mamangu nataka nirudi nyumbani mamangu
Mama: [emoji33][emoji32][emoji32][emoji32] mwanangu usirudi nyumbani mwanangu,usirudi!
Kijana:kwanini mama?..sina pa kwenda zaidi ya nyumbani mama
Mama: mwanangu usije mwanangu..ukija hapa utamwambukiza make wako..mke wako naee atamwambukiza mdogo ako james..James nae akiupata atamwmbukiza hausigeli...hausigeli akiupata atamwambukiza babako...babako ataniambukiza Mimi...na Mimi nkiupata ntamwambukiza houseboi....
Hausiboi atamwambukiza dadako...na dadako nae akiupata basi mtaa wooote umekwisha..
Mwanangu usirudi mwanangu...kaa hukohuko hadi ukifa tutakuzika ....