Mama ninakupenda sana (The Images of Mother)

Mama ninakupenda sana (The Images of Mother)

Sis nawe nayo

nimechelewa kwanza

Ilitakiwa kuwe na poster ya mama kila siku lol..

itabidi nimweleze mama

aache hiyo biashara ya Busa na Mangure

maana we nimegundua we unaichangamkia

ndo maana maza anaingia hasara kila siku

ahahahhahhha lol

Aache biashara ya busa? Wakati ndo imetusomesha? Ha ha ha habari ya usiku?

AD yaani ukiongelea habari za mama natamani niwe nae milele na miele
Vile navyowapenda nilikuwa nasema sitaweza kuwaacha na kuingia katika family nyingine yaani ndoa,
Lakini sasa na mimi nimekuwa mama huwa natamani niongozane na my baby kila kona ya mtaa ,
Naomba sana mungu anipe maisha marefu nikae na family yangu niwatunze niwalinde niwape yale yote yaliyo katika uwezo wangu
Niwaombee kwa mungu ....oooh nashindwa kuendelea

Aache biashara ya busa? Wakati ndo imetusomesha? Ha ha ha habari ya usiku?
Hahahahahahahah lol
Tungeepataga ile kitu inaitwa PHD
Kama we ungeacha kunywa mimi hata sec
Sijaenda kwa ajili yako.. hahahshhahlol

Usiku unaenda taraatibu tu..
Sasa lini unakuja huku manzense ???

Huwezi compare Mama! Poa umenisusa AD
Kweli kabisa mama ni mama tu

Jamani Jamani DM
Mimi sijakususa kabisa dear
We ndo huonekani kabisa hata
Kule upande ule naendaga lakini sikuoni..
Tupange basi kukutana..ukiwa free..

Kweli kabisa mama ni mama tu

Jamani Jamani DM
Mimi sijakususa kabisa dear
We ndo huonekani kabisa hata
Kule upande ule naendaga lakini sikuoni..
Tupange basi kukutana..ukiwa free..
Futa kule basi Dustin imejaa

God could not be everywhere and therefore he made mothers. ~Jewish Proverb

AD yaani ukiongelea habari za mama natamani niwe nae milele na miele
Vile navyowapenda nilikuwa nasema sitaweza kuwaacha na kuingia katika family nyingine yaani ndoa,
Lakini sasa na mimi nimekuwa mama huwa natamani niongozane na my baby kila kona ya mtaa ,
Naomba sana mungu anipe maisha marefu nikae na family yangu niwatunze niwalinde niwape yale yote yaliyo katika uwezo wangu
Niwaombee kwa mungu ....oooh nashindwa kuendelea
my dear upendo uliounyesha kwa
mammy na hakika na mwanao atakuonyeshea
kwa tunasahau mambo mengi na vitu vingi katika ilimwenguu huu lakini ikija kuhusu mama mmmhhh hata ujikwae utasikia"mamaaa"
Hongera sana dear kwa kupatA kazi bora kuliko zote duniani (kuwa mama)

Sweeeeet!!!
HAPPY MOTHERS DAY TO ALL THE MOTHERS OF JF!!YOU ARE ALL APPRECIATED!!!:A S-baby:
Thank you so much Lizzy, am proud to be a mother....Happy Mothers Day to future mothers tooo!:bange:

A blessing and prayer tribute to all mothers
"Blessed be all mothers
Who have come into our lives
Whose kindness, care and loving
Remain with us to guide.

Your inspiration in us
Made us strive in every way
Especially to remember
Helping others makes our day.

Mothers, this little tribute
Flows directly from my heart
You are so loved and cherished
Invaluable, one and all, you are.

Hahahshhah lol
That will be awesome lol

Me looking forward to be a mum..lol

Me looking forward to play with your children....you will make a good mother AD and ..............will make a good dad......:bange:

Mama hana mpinzani
hakuna kama mama
nawatakia wamama wote heri na baraka
Mungu awaongeze upendo/amani/faraja na matumaini

A blessing and prayer tribute to all mothers
"Blessed be all mothers
Who have come into our lives
Whose kindness, care and loving
Remain with us to guide.

Your inspiration in us
Made us strive in every way
Especially to remember
Helping others makes our day.

Mothers, this little tribute
Flows directly from my heart
You are so loved and cherished
Invaluable, one and all, you are.

OooohhhhMichelle
this is so beautiful
thank you so much..

Congratulation for being a mum..
I'm sure you are a wonderful mum..

Back
Top Bottom