Sis nawe nayo

nimechelewa kwanza

Ilitakiwa kuwe na poster ya mama kila siku lol..

itabidi nimweleze mama

aache hiyo biashara ya Busa na Mangure

maana we nimegundua we unaichangamkia

ndo maana maza anaingia hasara kila siku

ahahahhahhha lol
Huwezi compare Mama! Poa umenisusa ADDreamliner....
Acha Tu???
Vipi mambo lakini??
Hahahahahahahah lol

Aache biashara ya busa? Wakati ndo imetusomesha? Ha ha ha habari ya usiku?
Futa kule basi Dustin imejaaKweli kabisa mama ni mama tu
Jamani Jamani DM
Mimi sijakususa kabisa dear
We ndo huonekani kabisa hata
Kule upande ule naendaga lakini sikuoni..
Tupange basi kukutana..ukiwa free..
my dear upendo uliounyesha kwaAD yaani ukiongelea habari za mama natamani niwe nae milele na miele
Vile navyowapenda nilikuwa nasema sitaweza kuwaacha na kuingia katika family nyingine yaani ndoa,
Lakini sasa na mimi nimekuwa mama huwa natamani niongozane na my baby kila kona ya mtaa ,
Naomba sana mungu anipe maisha marefu nikae na family yangu niwatunze niwalinde niwape yale yote yaliyo katika uwezo wangu
Niwaombee kwa mungu ....oooh nashindwa kuendelea
I Love You Mama
We have to bring them together lol!!!i love you too mummy...
Thank you so much Lizzy, am proud to be a mother....Happy Mothers Day to future mothers tooo!:bange:Sweeeeet!!!
HAPPY MOTHERS DAY TO ALL THE MOTHERS OF JF!!YOU ARE ALL APPRECIATED!!!:A S-baby:
Hahahshhah lol
That will be awesome lol
Me looking forward to be a mum..lol
A blessing and prayer tribute to all mothers
"Blessed be all mothers
Who have come into our lives
Whose kindness, care and loving
Remain with us to guide.
Your inspiration in us
Made us strive in every way
Especially to remember
Helping others makes our day.
Mothers, this little tribute
Flows directly from my heart
You are so loved and cherished
Invaluable, one and all, you are.