Mama ninakupenda sana (The Images of Mother)

Dah!! Kimey aliingia mitini na kadi yako sijui kadi yako alimpa nani ngoja niongee na AD tuone hiyo kadi alimuhonga nani

Yaani nimemsubiri kweli..............mhhh!!!!

Keren kuna mtu kaiba password yako? Maana uliniambia umekosa kile kivazi nikipendacho so hutakwenda tena ikabidi niwe pembeni ya AfroDenzi kumbadilisha nepi katoto TF.

Mhhhh!!! ya kweli hayo jamani???!!! Ngoja tu ninyamaze, tutaongea ukija nyumbani....🙂
 


On January 3 , God sent me to the arms of an angel. An angel whose arms are always open when I need a hug, whose heart always understands when I need a friend. An angel whose eyes are stern when I need a lesson, whose strength and love guides me and give me wings that enables me to fly. I am most fortunate to call this angel my mother.

HAPPY MOTHERS DAY! TO ALL JF MOMS & FUTURE MOMS!! MUCH RESPECT 2 U ALL
 
Aksante Afrodenzi mpenzi kwa pole na pongezi,nami naamini na mimi ni mama mzuri pia.
Nashukuru kwa sala/maombi yako juu ya mama,ni muhimu sana kuwaombea/kuombeana juu ya wamama wote majukumu yao katika jamii yana mchango mkubwa sana.
Usijali deatuko pamoja
muda si mrefu wanao wataanza kuongea
Mazuri kuhusu wewe kwa watoto wao..
na hii miaka inavyokimbia mmmhhh
Utasikia jina bibi masaa machache yajayo..
Ndio maana ni muhimu sana kwa sisi wanawake kuwa kipaumbele kwenye jamii yetu..kwani tuyafanyayo,tuyasemayo ni shule tosha kwa wanaotuzunguka... ubarikiwe mpanzi..
 
I'ii always consider any woman to be my mother come what may thats what i grew up knowing. Nawapongeza sana kina dada/mama mlioko hapa jamvini!

So happy to hear that..
thanx Genekai..

Naona wanaume wengi wamekimbia
Hii thread leo hahaaa lol..
Good to see you tho..
 
nipo kipande cha mpwapwa.
My dear bado nipo nipo ila natamani......
Daaahh mpwapwa wafanya nini tena huko njoo kipandee hii dahhhh..

Eeeehh hapo kwenye kutamani tupo wote mpenzi..
 

Absolutely Brilliant..
thank you so much dear..
 
Hahahahahahahah
dahhhh mtei kwa kweli ndo
mabasi yanijulikana Manyara hahahahahahahah lol..
Haya fanya juu chini basi
Nitumie bei mbili sababu nataka mama aje na wewe..

Nimepata mtei toka karatu mpaka dar 40,000 ile Imboru mpaka karatu inabaki ile ile maana nitapanda Sabena kwa bei hiyo ya 10,000 ha ha ha Manyara kwetu raha sana kwa hiyo 100,000 kwa watu wawili ya kurudi utatupatia tukifika huko
 
Tupo pamoja hapa Keren....

halafu we have unfinished business.....:israel:

Asante Kaizer...

Halfu wewe, sio vizuri kupotea namna hiyo bana!!.....au ndo ulichukua likizo ya uzazi....🙂

Hope wote wazima......be blessed!
 
God bless the women - Lucky Dube

In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.

They don't run from anything
They stand and fight for what's right

Chorus
Oh oh oh...
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right

They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right

Chorus till fade...
 
Nimepata mtei toka karatu mpaka dar 40,000 ile Imboru mpaka karatu inabaki ile ile maana nitapanda Sabena kwa bei hiyo ya 10,000 ha ha ha Manyara kwetu raha sana kwa hiyo 100,000 kwa watu wawili ya kurudi utatupatia tukifika huko
Hahahahahahahah daaahh
Dena umenichekesha jamami.
SABENA hahahahahahahah lol
Hii ndo ile inayotoka Hydom mpaka arusha kupitia karatu na makuyuni na minjingu hahahahahahahah daaa ngoja niache kucheka halafu ntarudi kwenye nauli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…