kweli kabisa dearhakuna kama mama AD..BTW,, Huyu sharobaro TF anaendeleaje manake nasikia alikuwa na Bday kisha hajanambia:evil:
Hahahahahahahah daaahh
Dena umenichekesha jamami.
SABENA hahahahahahahah lol
Hii ndo ile inayotoka Hydom mpaka arusha kupitia karatu na makuyuni na minjingu hahahahahahahah daaa ngoja niache kucheka halafu ntarudi kwenye nauli...
God bless the women - Lucky Dube
In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
Chorus
Oh oh oh...
God bless the women
Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right
They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
Chorus till fade...
Ndo hiyo hiyo umesahau inapita Daudi pia mto wa mbu ha ha ha raha kweli najua umesahau maana toka mwaka jana hujaja home
hakuna kama mama AD..BTW,, Huyu sharobaro TF anaendeleaje manake nasikia alikuwa na Bday kisha hajanambia:evil:
Vinywaji viliisha vingine nimepeleka kwa mama kwa ajili ya kusherekea MOTHER'S DAY Jumapili hii lolkweli kabisa dear
Hakuna kama mama..
Huyu TF wengi wanalalamika hawakualikwa
hivi alisahau vipi kukualika wewe mmmhh
Ngoja nimtafute aje kujibu..

hahahahahah lol

Sis kweli leo umeniacha hoi

mie tangu jana nacheka tu daahh

umenikumbusha sabena jinsi watu tulivyokuwa tuna banana

Basi limesheena ile mabaya lakini utasikia kondactor anasema

"panda mama basi sio ndoo ya maji halijai hili " Dereva ndo kauchuna....

Zile ngozi za kimang'ati zinanuka, huyu anatapika mtoto kajinyea daaaahh

mmhhhh Sintokaa nisahau sabena ukitaka kutapika unapita watu kama kumi hivi

kufika dirishani kilicho kuwa kinaniudhi kuliko chote ni pale mtu anakula karanga na fanta

dahhh kilicho fuatia tuache tu ... halafu sasa hiyo barabara basi lina linaenda juu chini, juu , chini

ukifika uendako unahisi kama ulikuwa unapalilia heka 10 za mahindi , nguvu zimeisha ajili ya kutapika...

Ha ha ha nimecheka mpaka nimelia nimekumbuka siku moja tumepanda sabena tunakwenda mnadani haidom jamaa mmoja akawa hajavaa nanihino ya ndani nikamcheka akataka kunichoma na mkuki , umesahau mayai ya kuchemsha ni balaa

hahahaahhahah lol

mayai ya kuchemsha ni balaa mmmhh

halafu mtu akiayaachia hapo cheki hiyo rangi ya njano ..

yaaaaakiiiii dahhh kuna raha jamani kule kwetu .. Tembea uone kwa kweli..
hii sredi inanipa raha sana
Jamani jamani wewe
embu acha uchokozi basi mmmhh
mi niko poa kabisa dear
vipi naona umeweka pozi la hatari
au ndo style za weekend..
wapi kujirusha weekend hii dear???

Hivi ilikuwa $$ ngapi tena??? hahahah lol
Oceanic View nje kidogo ya jiji, karibu na mbweni beach kulee boko. Wanachoma bata vizuri sana. Huwa napendelea vitu natural so after two hours of gym off to bata. Ni maeneo ya babu yetu mzee wa ODM mr. Asprin