DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana.

Bwana afya wa haya maeneo wameruhusu hili?

Nenda pale Morocco Airtel kwenye bus stop. Nenda pale studio hio ni mifano michache.

Wahusika wajitahidi sana kulinda hii miundo mbinu kwa sababu ni pesa za wananchi kila mtu atimize jukumu lake kikamilifu
 
Hawa watu wamerudi kila upande. Yaani wamepanga mitaji mpaka barabarani tena
 
Back
Top Bottom