Mama Olive Kabila akiongea Kiswahili

Mama Olive Kabila akiongea Kiswahili

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
Salamu za rambirambi kutoka kwa Mama Olive Kabila kuhusiana na "msiba wa gari la ndege ya shirika la kampani Ewabora". Ni salamu za rambirambi na masikitiko ya ajali lakini Kiswahili anachoongea mtu unajikuta unacheka.

 
Last edited by a moderator:
Kiswahili kigumu...........hata waTZ wanaojifanya wenyewe hawakiwezi.......!!!!!
 
Mie nakipenda sana Kiswahili cha watu wa goma. Maana kiswahili chao ni kile cha kizamani lazima ufurahi.

"mwezi wa kenda" wanakwambia :]]

"nina miaka makumi matano na mitano"
 
Ameena!! mama wa kwanza DRC. Wa kwetu huhuzunika pale wachina na wawekezaji/wabangaizaji wengine wanapokufa na si watanzania wenzake
 
Back
Top Bottom