Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Hao jina lao tu ni utata bongo movie kila kitu kwa ni movie n wengi wanaishi kiujanjaujanja tu fake life.....kizazi cha wahongaji kimepotea maisha yao hovyohovyo
 
Kwanza elimu hawana, ubunifu hawana, ndo mwisho huo, muhindi sasa hivi kashika soko la movie.
 
Ndiomana hawafiki popote, hawa bongo movie hawajitambui.
 
Ila wasiache kushirikiana ktk sanaa siasa isiwatenganishe
 
njaa mbaya jamani,hao wengine hata kwenye movies hawana swaga itakuwa kwenye siasa? hakika wamepotoka na kupotea njia.
 
''Waandishi'' wa habari wa TZ ni majanga kwa kweli. Acha ile board aliyoianzisha Nape ije tu maana hakuna hamna.
Waandishi wanaulizwa kama wana maswali wapo kimya. Yaani sifuri kabisa. Hawana tofauti na hao waliokuwa wanawahoji
 
Mungu iokoe Tanzania, sasa imefika kipindi tunaongozwa na akili za wasanii. kina wema sepetu, kina steve nyerere, kina jb, na hao sifuri wote hapo. ndio wameshika hatamu kuliongoza taifa na wanasikilizwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…