Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Sasa jamani njaa imekuwa mbaya hivyo. Au ndio usanii huu.
 
Hao nao vilaza kweli hawaumizi vichwa kutoa filamu nzuri wamebaki kufanya ujinga.
Tatizo hizi drama ndo zinawalipa mkuu!

Huoni wengine leo waitisha press confrence..! Nchi inaendeshwa kisanii sasa hivi
 
Mke wa komba mpaka sasa anadai pesa iwe nyinyi? Hivi kweli utoke nyumbani Kwako kuita mkutano huo waandishi wa habari kisa kukanusa tu kulipwa au kutolipwa, nani kalipia huo mkutano wa wana habari? Naambiwa TV moja ni Laki na nusu radio 1 elfu 50 malipo yao
kwani hao unaona ni masikini kama wewe?
 
Hivi hili tatizo la wasanii kutumika na drama drama za kijinga hivi zipo na kwa wenzetu?


Manake ni nadra kusikia chamelione, Juguar, prezoo, Nameless, saut soul..wameitisha press [emoji41][emoji41]
 
Hapa mi siwezi kushangaa maana hawa nao wanalinda kitumbua kisiingie mchanga kwa kusema ukweli ila kwa vile tunawajua hamtupi shida komaeni mwishoni mapovu yatawatoka wenyewe muda ukifika na kusema ukweli.
 
Asante Hashpower7113 nlikua sijapata kuwaona hawa.kumbe ndo wasanii
 
Tatizo hizi drama ndo zinawalipa mkuu!

Huoni wengine leo waitisha press confrence..! Nchi inaendeshwa kisanii sasa hivi
Wananjaa hawa waone hivyo tu, siku hizi wanashinda Kariakoo kuwachomea kwa tra wanaouza CDs za nje
 
Walipwe wasilipwe hainihusu.
Kwanza wanalipwa kwa kazi gani haswa?
 
Unafiki mtupu...Hao CCM juzi Juzi walisema hawalipi wasanii kama hakuna mkataba na watai hakiki kwanza....sasa leo mnakuja hapo kutoka povu baada ya kuitwa na kutishwa au kupata chochote.
wema yupo right ccm wenyewe walithibisha kuwa wanao daia waende na mikataba. wacheni kutoka povu..

CCM kutowalipa wasanii wasio na ushahidi wa madai yao

labda na shigongo naye atakuja kukanusha kwamba aliambia baba jipoze kwa kunywa maji

Mfanyabiashara Erick Shigongo alia na Deni analoidai CCM, adai Mali alizowekea dhamana mbioni kupigwa Mnada.
Hapo wànajifanya vipofu. Unafiki huwa ni mbaya sana sana kama utajifanya kipofu. Yaani mtu kama JB nilikuwa naamini kuwa anaweza kuwa na msingi wa kujiamini kama anavyoigiza, kumbe bure kabisa.
 
Hivi hili tatizo la wasanii kutumika na drama drama za kijinga hivi zipo na kwa wenzetu?


Manake ni nadra kusikia chamelione, Juguar, prezoo, Nameless, saut soul..wameitisha press [emoji41][emoji41]
Hao wote ni wasanii walioelimika kwa ngazi ya elimu ya juu. Hapa kwetu ni fafafafa tu, unategemea nini?
 
Kwhiyo MCC iliwanunua kwenye kampeni zao au?nahisi ndio tafsiri yake otherwise sioni hoja mlipwe au msilipwe na kutumiwa katika kampeni kwa lengo la siasa wakati nyiny bongo movie ni kioo cha jamii inakuwa haipendezi ndio maana mnaua soko lenu.
 
Bongo movie wote sijawahi kuwaelewa.

Siyo Wema siyo hao wengine, wote ni zero....
Kama Wema kilichomhamisha ni Madai ya pesa alitakiwa ahame kabla ya kashfa ya bangi,

Kwa upande wa hawa nao waliobaki tayari wamejitambulisha kama MAKADA wa CCM which means hata kama hawakulipwa hawako tayari kusema hawajalipwa.. full stop.
 
Sipati picha jinsi ukawa walivyonuna muda huu, wengi walitarajia wasanii hawa waungane na wema kutimkia chadema!
 
Hao wote ni wasanii walioelimika kwa ngazi ya elimu ya juu. Hapa kwetu ni fafafafa tu, unategemea nini?
Hahahaaaaa! Fa fa fa fa fa fa!

Falaaa...! [emoji23][emoji23][emoji23] kidding
 
kwa sasa bongo movie wanakabiliwa na njaa sana.usitegemee kusikia jambo lolote la maana kutoa ktk hawa watu.
 
Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Kukubali kwamba hawajalipwa maana yake ni kwamba wanahama CCM.
Yoyote atakayehama chama atasema hajalipwa!!
 
Back
Top Bottom