Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Fani ya bongo movie ina vichaa wengi na wanaotumika, ndo maana wasanii wetu maskini sababu ni vilazer wenzao wa Hollywood ni mabilionea wao wamebaki kutumika na ccm na wakijisahau kuboresha movie
 
Yaani nimeshangaa sana eti yule SIMALENGA wa clouds na yeye yupo hapo. Duuh kweli hii ni hatari sana..

Upuuzi mtupu
 
Masikini, eti wote walilipwa! Hebu ona siasa zinavyomaliza hata tuvipaji tudogo tuliokuwa tunaanza kuonyesha njia!
 
Eti wanasema wao ni makada halali wa CCM. hivi kada maana yake nini? Maana naona kila mtu anajiita kada. Ila CCM yenyewe imekaa kimya. Hawa malay* waganga njaa tu kujipendekeza CCM halafu sijui hata jina la mmoja hapo. Sijui hata bongo movie gani haw
 
Hao jamaa kama kweli wanataka mafanikio kwenye hiyo industry, wakae mbali na siasa, waache kutumika na wanasiasa, sasa hivi wamekuwa kituko mara leo huyo kasema hiki kesho mwingine from no where anakuja kukanusha! yaan bongo movie imekuwa vurugu tuu!
 
Jamani ndugu yenu sina mb na simu yangu screen ni ndogo sijaona risiti nimesikia maneno tu au nyinyi mmeona risiti?

Nimemuona Simalenga mfanyakazi wa Clouds na kada wa ccm.

Nimeona wanawake wawili wamevaa nguo za njano na kijani na pazia la kijani kwa nyuma, hizo ndiyo rangi rasmi za taasisi yao?

Ah ni tatizo
 
hawako organised kabisa yani kama watu wa vigodoro huko mtaani
kwani unadhani movie zinauza tena muvi pekee waliyonayo kwa sasa ni hii ya kujazwa kwenye makalandinga kufiligisswa kisha kupewa buku 5 wamekomaa sura kwa matatizo
 
Jamani ndugu yenu sina mb na simu yangu screen ni ndogo sijaona risiti nimesikia maneno tu au nyinyi mmeona risiti?

Nimemuona Simalenga mfanyakazi wa Clouds na kada wa ccm.

Nimeona wanawake wawili wamevaa nguo za njano na kijani na pazia la kijani kwa nyuma, hizo ndiyo rangi rasmi za taasisi yao?

Ah ni tatizo
Yani simalenga ndio ka organise press cheap kiasi hiki hata hajawaandikia cha kusema hebu ona walivyo dis organised
 
Afadhali mmeweka mambo wazi, ukitaka kuwa huru lazima uwe mkweli...... Hili ni funzo zuri kwa wasema uongo na mashabiki wao, mambo ya hovyohovyo na ya uongo hapa Bongo yamezidi kushamiri. Ni aibu na pigo kwa Chaka lao linalokumbatia mafisadi na waongo
 
Makonda anazidi kuwapiga kwa knock-out wabaya wake wanaomuombea mabaya.
 
Hawa wasanii acha waendelee kulalamikia watu wanaouza movies za kikorea kumbe ndio vichwa vyao vilivyo!!? Hopeless kabisa yaani akili zao ni fa fa fa fa hamna kitu
 
Back
Top Bottom