Unadhani kwanini yeye ni mmoja tu kahama CCM inatumia gharama kukusanya hao faru wengine.Tumia ubongo kufikiria Wema ana umaarufu kwako,na hao wana umaarufu kwa wengine ndio maana wana maisha yao hawaishi kwa ajili Wema.Au Ni umaarufu UPI?unaomzungumzia Wa kutoa papuchi kwa Wema?
Steve Nyerereakikanusha taarifa za kukidai CCM.
Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Hahahahahahahahaha hivi Bongo movie bado ipo?Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Tazama video...
Wasanii Bongo Movies Wampinga Wema Sepetu, Wakanusha Kuidai CCM
MOVIE BADO INAENDELEA: Hivyo ndivyo tunaweza kusema baada ya wasanii wa Bongo Movie Wasanii wa Bongo Movies waliokuwa wakishiriki kwenye kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ya Mama Ongea na Mwanao ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipwa pesa za kampeni walizofanya kwenye uchaguzi huo.
Wakizungumza na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, wasanii hao wakiongozwa na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’, wamesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu wasanii wote walilipwa na Wema alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakiwalipa wasanii hao.
Mara baada ya Thea na Yobnesh kuzungumza maneno machache, mkutano huo na waandishi wa habari ulimalizika, ukiwa umechukua dakika chache tu na kuacha kila mtu akaizungumza lake.
“Ni kweli inasemekana kwenye mitandao kuwa tulifanya kampeni na hatukulipwa, mimi kama Mwenyekiti Msaidizi wa Muda, nakanusha taarifa hizo kuwa si za kweli… wapo wanaoshawishiwa kulichafua kundi letu, kumchafua Makamu wa Rais Bi. Samia Suluhu na kuichafua CCM, mimi nakataa, sote tumelipwa na mikataba ipo.
“Zipo simu za kushwishiwa kuhama lakini hatutohama chama na Kundi la Mama Ongea na Mwanao litaendelea kuwepo chini ya Usimamizi wa Bi. Samia Suluhu.” Alisema Batuli.
Wema Sepetu alivyohamia Chadema.
Hivi karibuni msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliibuka mbele ya wanahabari wakati akihamia Chadema kwa madai ya kufanyiwa hila kwenye CCM huku akidai kuwa Kundi la Mama Ongea na Mwanao linakidai CCM pesa yao ya kampeni waliyofanya mwaka 2015.
Steve Nyerereakikanusha taarifa za kukidai CCM.
Aidha siku moja baadaye msanii wa filamu na mchekeshaji maarufu Bongo, Steve Nyerere aliyekuwa mwenyekiti wa Kundi hilo wakati wa kampeni aliibuka na kukanusha taarifa za wasanii wa Bongo Movie kukidai CCM huku akieleza kuwa wasanii wote walilipwa pesa zao kama mikataba iliyokuwa ikieleza.
Chanzo: GPL
Ningeshangaa kama wangekaa kimya. Hayo majibu tuliyategemea.Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Tazama video...
Wasanii Bongo Movies Wampinga Wema Sepetu, Wakanusha Kuidai CCM
MOVIE BADO INAENDELEA: Hivyo ndivyo tunaweza kusema baada ya wasanii wa Bongo Movie Wasanii wa Bongo Movies waliokuwa wakishiriki kwenye kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ya Mama Ongea na Mwanao ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipwa pesa za kampeni walizofanya kwenye uchaguzi huo.
Wakizungumza na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, wasanii hao wakiongozwa na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’, wamesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu wasanii wote walilipwa na Wema alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakiwalipa wasanii hao.
Mara baada ya Thea na Yobnesh kuzungumza maneno machache, mkutano huo na waandishi wa habari ulimalizika, ukiwa umechukua dakika chache tu na kuacha kila mtu akaizungumza lake.
“Ni kweli inasemekana kwenye mitandao kuwa tulifanya kampeni na hatukulipwa, mimi kama Mwenyekiti Msaidizi wa Muda, nakanusha taarifa hizo kuwa si za kweli… wapo wanaoshawishiwa kulichafua kundi letu, kumchafua Makamu wa Rais Bi. Samia Suluhu na kuichafua CCM, mimi nakataa, sote tumelipwa na mikataba ipo.
“Zipo simu za kushwishiwa kuhama lakini hatutohama chama na Kundi la Mama Ongea na Mwanao litaendelea kuwepo chini ya Usimamizi wa Bi. Samia Suluhu.” Alisema Batuli.
Wema Sepetu alivyohamia Chadema.
Hivi karibuni msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliibuka mbele ya wanahabari wakati akihamia Chadema kwa madai ya kufanyiwa hila kwenye CCM huku akidai kuwa Kundi la Mama Ongea na Mwanao linakidai CCM pesa yao ya kampeni waliyofanya mwaka 2015.
Steve Nyerereakikanusha taarifa za kukidai CCM.
Aidha siku moja baadaye msanii wa filamu na mchekeshaji maarufu Bongo, Steve Nyerere aliyekuwa mwenyekiti wa Kundi hilo wakati wa kampeni aliibuka na kukanusha taarifa za wasanii wa Bongo Movie kukidai CCM huku akieleza kuwa wasanii wote walilipwa pesa zao kama mikataba iliyokuwa ikieleza.
Chanzo: GPL
Wote wanaicheza ngoma ya Wema. Safi sanaWasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.

Bora huyo teja anayefahamika. Ogopa teja asiyefahamika halafu akuongoze.Machadema bana! Kwa hiyo wakihamia chadema ndio watafika popote kama Leo mnavyomsifia teja Wema!! Ha ha ha ha ha
Huku tunatambuana kwa majina halali.Endelea kupiga msuba kakaaa, ndio kimbilio la wahalifu huko!
Wewe kusoma hujui. Unanipotezea muda!Kwa kuwa mnatumbuana kwa majina we baba yako anaitwa 10 or?
Watawaoa siku izi hawa watuPesa za GSM zimetumika kukodi ukumbi