Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Tumia ubongo kufikiria Wema ana umaarufu kwako,na hao wana umaarufu kwa wengine ndio maana wana maisha yao hawaishi kwa ajili Wema.Au Ni umaarufu UPI?unaomzungumzia Wa kutoa papuchi kwa Wema?
Unadhani kwanini yeye ni mmoja tu kahama CCM inatumia gharama kukusanya hao faru wengine.
Au tuseme wao ni wakweli lakini kwanini yeye ndio akapewa kazi ya kugawa hela.
Vitu vingine havitaki ghadhabu hebu gazeti liandike Uwoya na liandike Wema uone lipi linauzwa,
 
Steve Nyerereakikanusha taarifa za kukidai CCM.

Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.

Hii inaonesha CCM haina madeni, je vipi kuhusu na huyu?

pic+mke+wa+komba.jpg

Mjane wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, Salome Komba.

Mke wa Komba amwangukia JPM kuhusu mafao ya mumewe
 
Wasanii waganga njaa tu hawa. Hawajijui hao, wote ni wasanii maslahi tu....hakuna kitu hapo,.
 
Naziangalia jezi, ndiyo washindwe kumkana mwenzao wa vidole viwili
 
Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Tazama video...

Wasanii Bongo Movies Wampinga Wema Sepetu, Wakanusha Kuidai CCM

MOVIE BADO INAENDELEA: Hivyo ndivyo tunaweza kusema baada ya wasanii wa Bongo Movie Wasanii wa Bongo Movies waliokuwa wakishiriki kwenye kampeni ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ya Mama Ongea na Mwanao ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipwa pesa za kampeni walizofanya kwenye uchaguzi huo.

Wakizungumza na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, wasanii hao wakiongozwa na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’, wamesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu wasanii wote walilipwa na Wema alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakiwalipa wasanii hao.

Mara baada ya Thea na Yobnesh kuzungumza maneno machache, mkutano huo na waandishi wa habari ulimalizika, ukiwa umechukua dakika chache tu na kuacha kila mtu akaizungumza lake.

“Ni kweli inasemekana kwenye mitandao kuwa tulifanya kampeni na hatukulipwa, mimi kama Mwenyekiti Msaidizi wa Muda, nakanusha taarifa hizo kuwa si za kweli… wapo wanaoshawishiwa kulichafua kundi letu, kumchafua Makamu wa Rais Bi. Samia Suluhu na kuichafua CCM, mimi nakataa, sote tumelipwa na mikataba ipo.

“Zipo simu za kushwishiwa kuhama lakini hatutohama chama na Kundi la Mama Ongea na Mwanao litaendelea kuwepo chini ya Usimamizi wa Bi. Samia Suluhu.” Alisema Batuli.

Wema Sepetu alivyohamia Chadema.

Hivi karibuni msanii wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliibuka mbele ya wanahabari wakati akihamia Chadema kwa madai ya kufanyiwa hila kwenye CCM huku akidai kuwa Kundi la Mama Ongea na Mwanao linakidai CCM pesa yao ya kampeni waliyofanya mwaka 2015.

Steve Nyerereakikanusha taarifa za kukidai CCM.

Aidha siku moja baadaye msanii wa filamu na mchekeshaji maarufu Bongo, Steve Nyerere aliyekuwa mwenyekiti wa Kundi hilo wakati wa kampeni aliibuka na kukanusha taarifa za wasanii wa Bongo Movie kukidai CCM huku akieleza kuwa wasanii wote walilipwa pesa zao kama mikataba iliyokuwa ikieleza.

Chanzo: GPL

Hahahahahahahahaha hivi Bongo movie bado ipo?
Wingi wao haumaanishi walichosema ndio sahihi.
Wanapoteza muda.
 
Wamesahau kusema hata kuja kukanusha hapo wamelipwa pia.
 
Ningeshangaa kama wangekaa kimya. Hayo majibu tuliyategemea.
Ngoja tusubiri Wolper naye aje aseme hakulipwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wote wanaicheza ngoma ya Wema. Safi sana
 
Sijawahi kuona kuwa ushahidi au vielelezo vya malipo ni mkataba badala ya tax invoices au receipts au bank statements au cheque numbers au cheque books.
 
Watanzania tunateseka na kunyanyasika sababu ya kendekeza njaa, ina mbongo movie wote wanakinyenyekea chama hata ili waishi mjini,.# wake up stand up fight for your right
 
Batuli whom..?
Batuli sijui bakuli ndo nani kwani..
Nendeni mkaongee bs na wanenu pumbavu nyie
 
Ni jambo la kihuni na la fedheha kubwa kwa wasanii kujitokeza hadhari hasa hizi Bongo movie kuithibitishia umma wa Watanzania kwamba walilipwa pesa zao na mkataba wanao wa kufanyia kampeni CCM uchaguzi mkuu 2015.

Najaribu tu kuwaza mnakiri mlilipwa kufanya kampeni inashindikana nini kulipwa ili mje mseme mlilipwa lakini ni fedheha gani mnayoipaka serikali na rais Magufuli na chama chake kwamba walinunua watu ili wawapigie kampeni na kura, kumbe sio chaguo la Mungu tena ila chaguo la pesa????

Watch out si kila jambo la kutolea ufafanuzi huwezi ukatolea ufafanuzi ukiambiwa mamako alibakwa mpaka hasubuh alafu we unakanusha eti alibakwa masaa mawili tu badala useme hajabakwa mmnatia aibu.
 
Kumbe walikua kazini mimi nilijua ni wanachama wakereketwa wamesema walilipwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa si hasa bali ni visa na mikasa ukistaajabu ya daudi.
 
Back
Top Bottom