Mama P Diddy ailipukia dunia, adai ni waongo wakubwa wanataka tu pesa za mwanae

Mama P Diddy ailipukia dunia, adai ni waongo wakubwa wanataka tu pesa za mwanae

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Mama mzazi wa #Diddy, Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu.

Mama Diddy amemtetea mwanae kupitia barua ya wazi inayoeleza yanayoendelea kwa Diddy ni uongo na uchochezi kwa wanaotaka faida ya fedha.

"Mwanangu sio mnyama wanamchoresha kuwa hivyo, ni mzaha na kucheka maisha ya mwanangu yakiporomoka mbele ya macho yetu ni jambo ambalo siwezi kusahau kamwe".

"Inasikitisha kuona ulimwengu ukigeuka dhidi ya mwanangu juu ya uwongo na maoni potofu bila kusikia upande wake. Uongo huu unaotupwa huchochewa na wale wanaotafuta faida ya kifedha na sio haki" - Maeleozo ya Mama Diddy

Mpaka sasa Diddy anatuhumiwa makosa 120 ya madai ya unyanyasaji wa kingono.

#Trending #Diddy
 
Mpaka sasa sijaona demu yoyote aliyekula hela za Sean Combs akimtetea

Vijana wa kiume hakuna atakayekuwa nawe bega kwa bega ukifall kiuchumi au ukiwa na matatizo, ukipoteza kazi, ukifirisika zaidi ya mama yako mzazi

Mazingira ya Marekani na Tz ni tofauti Sana mkuu.
 
Mpaka sasa sijaona demu yoyote aliyekula hela za Sean Combs akimtetea

Vijana wa kiume hakuna atakayekuwa nawe bega kwa bega ukifall kiuchumi au ukiwa na matatizo, ukipoteza kazi, ukifirisika zaidi ya mama yako mzazi

Never choose a woman over your mom and family
Kwel man, juz kati nilitaka nimfanyie kitu mtoto mzuri mmoja, ila nika take time nikawazaa hiv hii pesa kwan mimi siihitaji?

Nikaamua niingia town nikajioigia shopping zangu viwalo vya kutosha nituoie niwake maisha yaendelee, hawa mbung'o hawanaga shukrani!. Kisa??? Eti utelezi, aaah sio kweli...
 
Kwel man, juz kati nilitaka nimfanyie kitu mtoto mzuri mmoja, ila nika take time nikawazaa hiv hii pesa kwan mimi siihitaji??
Nikaamua niingia town nikajioigia shopping zangu viwalo vya kutosha nituoie niwake maisha yaendelee, hawa mbung'o hawanaga shukrani!. Kisa??? Eti utelezi, aaah sio kweli...
Umefanya vizuri sana mkuu hawa viumbe sio wa kuwapa kipaumbele kabisa

Jipende wewe kwanza
 
Mama mzazi wa #Diddy, Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu...
Hela lazima zipigwe tu. Serikali ya Marekani napenda sana kupata hela haramu. Yaani wanakuona unafanya makosa ila wakiona unaingiza pesa nyingi wanakuacha kwanza.

Wanajifanya wanakuchunguza hata miaka 20. Wakiona umefika peak na hakuna dlili ya kuendelea kutengeneza pesa zaidi ndio wanakuja sasa.

Huwezi nishawishi kuwa kwa uwezo wa serikali ya marekani eti walikua hawajui didi anafanya nini miaka yote hiyo. Ni kuwa alikua hajafika kwenye peak yake ya kutengeneza mkwanja.
 
Kwel man, juz kati nilitaka nimfanyie kitu mtoto mzuri mmoja, ila nika take time nikawazaa hiv hii pesa kwan mimi siihitaji??
Nikaamua niingia town nikajioigia shopping zangu viwalo vya kutosha nituoie niwake maisha yaendelee, hawa mbung'o hawanaga shukrani!. Kisa??? Eti utelezi, aaah sio kweli...
Mwenyewe juzi kati mbuni mmoja alikua kashanipa malist ya mazaga zaga kibao ndio akanipe tundra nikawaaazaaa weeee , akili ilipokaa fresh huyoo nikaenda kununua vitenge vya wife ,mashati na makadeti ya kufa mtu kisha nikamalizia na bonge moja la jogooo nyie mnawaita kuch nikapiga supu yangu safi nikahema
 
Mama wa mwanamuziki, mwigizaji,mtayarishaji na mjasiriamali maarufu P Diddy ameibuka na kumtetea mwanae kwa kusema kuwa tuhuma dhidi ya mwanae ni uongo na uzushi! Anasema mwanae ni msafi!

P Diddy's mother issues statement on sexual abuse allegations​

Combs's mother Janice Smalls Combs has released a statement through her attorney, Natlie G. Figgers, which was shared with The Hollywood Reporter on Sunday.

"It is heartbreaking to see my son judged not for the truth, but for a narrative created out of lies," Ms Combs wrote.

"My son is not the monster they have painted him to be," his mother has said in response.

P Diddy - also known as P Diddy and Puff Daddy - is facing sex trafficking charges and 120 new sexual misconduct allegations.

Monday 7 October 2024 14:18, UK

Nb: Kinanani hao wapo nyuma??? Muda utaamua!
 
Tatizo ni wese lililokutwa kwa pididi halina maelezo mazuri.

Kuna kesi moja kwamba pididi alimla kiboga DJ au mlinzi wake na mahakama ilimkuta na hatia so kwa pididi kula viboga hakuna anayemsingizia.
 
Mpaka sasa sijaona demu yoyote aliyekula hela za Sean Combs akimtetea

Vijana wa kiume hakuna atakayekuwa nawe bega kwa bega ukifall kiuchumi au ukiwa na matatizo, ukipoteza kazi, ukifirisika zaidi ya mama yako mzazi

Never choose a woman over your mom and family
Hili ndio somonkuu hapa. Ur mum will always have ur back.
Ila na hawa mama zetu nao sometimes ni washenzi sana, wanajuaga kuwa watoto wao hela wanazipata kwa njia haramu lakini kwa kuwa wanakula gud life hawakemei au kuzikataa hizo pesa.
 
Mpaka sasa sijaona demu yoyote aliyekula hela za Sean Combs akimtetea

Vijana wa kiume hakuna atakayekuwa nawe bega kwa bega ukifall kiuchumi au ukiwa na matatizo, ukipoteza kazi, ukifirisika zaidi ya mama yako mzazi

Never choose a woman over your mom and family
Aise nimeamini leo. Hawa wnawake wengine ni mammbwa na manyani.
Mama anawezq kukusimamia hata uwe na tuhuma nzito za namna gani utamuona yuko pale na wewe. Ndio mana sijashangaa hata hakimi kumuweka mama yake kama mwenye mali zake zote
 
Nadhani hilo n jukumu lake kama mama kumtetea mwanae, n sawa na akina mama wa Tanzania wanajua kabisa wanao n wezi, wavuta bangi na mengineyo ila kutwa kuwatetea na kuwaonyesha hao watoto wao ni wema kwa jamii.
 
Mpaka sasa sijaona demu yoyote aliyekula hela za Sean Combs akimtetea

Vijana wa kiume hakuna atakayekuwa nawe bega kwa bega ukifall kiuchumi au ukiwa na matatizo, ukipoteza kazi, ukifirisika zaidi ya mama yako mzazi

Never choose a woman over your mom and family
Hii inafaa iwe Uzi kabisa copy hivi hivi alafu fungulia Uzi
 
Back
Top Bottom