Mama P Diddy ailipukia dunia, adai ni waongo wakubwa wanataka tu pesa za mwanae

Mama P Diddy ailipukia dunia, adai ni waongo wakubwa wanataka tu pesa za mwanae

Kwel man, juz kati nilitaka nimfanyie kitu mtoto mzuri mmoja, ila nika take time nikawazaa hiv hii pesa kwan mimi siihitaji?

Nikaamua niingia town nikajioigia shopping zangu viwalo vya kutosha nituoie niwake maisha yaendelee, hawa mbung'o hawanaga shukrani!. Kisa??? Eti utelezi, aaah sio kweli...
Great Thinker
 
Mama mzazi wa #Diddy, Janice Combs amevunja ukimya matatizo yanayomkabili mtoto wake akisema hana hatia sababu Diddy hajafikia hatua ya kufanya unyama huo kwa watu wanaomtuhumu.

Mama Diddy amemtetea mwanae kupitia barua ya wazi inayoeleza yanayoendelea kwa Diddy ni uongo na uchochezi kwa wanaotaka faida ya fedha.

"Mwanangu sio mnyama wanamchoresha kuwa hivyo, ni mzaha na kucheka maisha ya mwanangu yakiporomoka mbele ya macho yetu ni jambo ambalo siwezi kusahau kamwe".

"Inasikitisha kuona ulimwengu ukigeuka dhidi ya mwanangu juu ya uwongo na maoni potofu bila kusikia upande wake. Uongo huu unaotupwa huchochewa na wale wanaotafuta faida ya kifedha na sio haki" - Maeleozo ya Mama Diddy

Mpaka sasa Diddy anatuhumiwa makosa 120 ya madai ya unyanyasaji wa kingono.

#Trending #Diddy
Baki kwenye siasa uchwara mkuu, haya mambo ya vijana waachie vijana
 
Back
Top Bottom