Mama Pretty nimezama penzini

Mama Pretty nimezama penzini

Mapenzi ni utapeli. Ukishalijua hilo usijifie mbele za watu.
Kuna mwanamke km wewe alikuwa ananiambia ananipenda sana ila sasa aninichukia sana na kaniweka blacklist.
Km ulinipenda kwanini unichukie?
Unanikumbusha ndoa ya Dullah makabila na Zai
Pole.. huyoo hakuwa wako .. wewe ndio ulikutana na tapeli
 
Back
Top Bottom